×

Rais Samia Apokea Kifimbo Cha Malkia Ikulu, Dar -(Picha +Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  leo Novemba 13, 2021 amepokea Kifimbo cha Malkia Elizabeth...

READ MORE

Aunt, Kusah vs Ruby Kimeumana!

MAMBO yanazidi kuharibika baina ya mastaa watatu ambao mapenzi yamewatoa uvumilivu na kuwa kwenye vute nikuvute kisha kuanikana hadharani na...

READ MORE

Yacouba Atua Tunisia, Apewa Daktari Bingwa

MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Injinia Hersi Said, amesema kuwa kiungo wao mshambuliaji Mburkinabe, Yacouba Songne, anaweza kupona...

READ MORE

Mastaa wa Bongo Fleva, Dansi, Kukiwasha Tamasha la Biriani Festival na Coca Cola Kwanza

    MASTAA wa Bongo Fleva na dansi wanatarajiwa kukiwasha kwa pamoja kwenye tamasha la Biriani Festival lililoandaliwa na Kampuni...

READ MORE

Vioja vya Moto Ndani ya Nyumba, Wanafamilia Waomba ‘Poo’

WAMEOMBA ‘POO!’ Hivyo ndivyo unavyoweza kusmea kufuatia familia moja katika Mtaa wa Morembe Musoma mkoani Mara kuomba maridhiano na wanafamilia...

READ MORE

Magari Matano Yagongana Dar

AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Novemba 13, 2021 katika maeneo ya Mbezi kwa Yusufu, Dar es Salaam...

READ MORE

MAC VOICE: Nilijiona Kama Ninaota Kusainiwa na Rayvanny

“Mmmh siri ya mwezi…Siri ya nyota, siri ya angani…Siri ya njozi usingizi…Siri ya kitandani…Ila siri ya penzi, siri ya moyo…Siri...

READ MORE

Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Kumuua Dereva Bodaboda

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imewahukumu Fred Nyagawa, Isaya Mgimba na James Mteleke kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na...

READ MORE

Nabi Anataka Rekodi ya Pasi Bongo

KOCHA wa Yanga, Nasrredine Mohamed Nabi, amefunguka kuwa anahitaji timu yake iwe na uwezo mkubwa zaidi wa kumiliki mpira na...

READ MORE

Stars Ndani Ya Madagascar Tayari Kwa Kazi

TIMU ya Taifa ya Tanzania,Taifa, Taifa Stars kesho ina kibarua kingine cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Madagascar katika...

READ MORE

Ibenge Afunguka Kumweka Benchi Chama

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, Florent Ibenge, amefunguka suala la kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Clatous...

READ MORE

Nguli wa YouTube Atupwa Jela kwa Kuikashfu Serikali

Nyota wa YouTube nchini Rwanda, Dieudonné Niyonsenga amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kuikosoa serikali. Niyonsenga anayejulikana kama Cyuma...

READ MORE

Mwanzilishi wa Wikileaks Aruhusiwa Kufunga Ndoa Jela

Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Julian Assange ameruhusiwa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika gereza la Belmarsh nchini Uingereza....

READ MORE

Meridian Gaming Group Katika Mapambano Dhidi Ya Covid – 19

  Tangu mwanzo wa janga la COVID-19, kampuni zote za Meridian Gaming Group zimekuwa zikifanya jitihada za makusudi katika kuzisaidia...

READ MORE

Vijana Washindwa Kuoa Kisa Makahaba, Diwani Alia Uhaba wa Condom

JESHI la Polisi wilaya ya Kisarawe limesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao...

READ MORE

Nafasi ya Kazi DANGOTE, Junior Electrical Engineer (Power Plant)

  Description Job Summary Operation & Maintenance, Trouble shooting of Electrical equipment’s. Responsible for trouble free operation of assigned area...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo, Novemba 13, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 13, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Watoto 3,524 Wamebakwa, 637 Wamelawitiwa, 130 Wamechomwa Moto

Jumla ya watoto 6,168 wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kati ya Januari hadi Desemba 2021, Bunge limeelezwa leo Ijumaa Novemba 12,...

READ MORE

Aliyezawadiwa Kitabu cha Shigongo Afunguka

MWANDISHI mahiri wa vitabu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo, kupitia magazeti bora ya michezo ya Spoti Xtra na Championi,...

READ MORE