×

Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Kumuua Dereva Bodaboda

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imewahukumu Fred Nyagawa, Isaya Mgimba na James Mteleke kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na...

READ MORE

Nabi Anataka Rekodi ya Pasi Bongo

KOCHA wa Yanga, Nasrredine Mohamed Nabi, amefunguka kuwa anahitaji timu yake iwe na uwezo mkubwa zaidi wa kumiliki mpira na...

READ MORE

Stars Ndani Ya Madagascar Tayari Kwa Kazi

TIMU ya Taifa ya Tanzania,Taifa, Taifa Stars kesho ina kibarua kingine cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Madagascar katika...

READ MORE

Ibenge Afunguka Kumweka Benchi Chama

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, Florent Ibenge, amefunguka suala la kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Clatous...

READ MORE

Nguli wa YouTube Atupwa Jela kwa Kuikashfu Serikali

Nyota wa YouTube nchini Rwanda, Dieudonné Niyonsenga amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kuikosoa serikali. Niyonsenga anayejulikana kama Cyuma...

READ MORE

Mwanzilishi wa Wikileaks Aruhusiwa Kufunga Ndoa Jela

Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Julian Assange ameruhusiwa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika gereza la Belmarsh nchini Uingereza....

READ MORE

Meridian Gaming Group Katika Mapambano Dhidi Ya Covid – 19

  Tangu mwanzo wa janga la COVID-19, kampuni zote za Meridian Gaming Group zimekuwa zikifanya jitihada za makusudi katika kuzisaidia...

READ MORE

Vijana Washindwa Kuoa Kisa Makahaba, Diwani Alia Uhaba wa Condom

JESHI la Polisi wilaya ya Kisarawe limesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao...

READ MORE

Nafasi ya Kazi DANGOTE, Junior Electrical Engineer (Power Plant)

  Description Job Summary Operation & Maintenance, Trouble shooting of Electrical equipment’s. Responsible for trouble free operation of assigned area...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo, Novemba 13, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 13, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Watoto 3,524 Wamebakwa, 637 Wamelawitiwa, 130 Wamechomwa Moto

Jumla ya watoto 6,168 wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kati ya Januari hadi Desemba 2021, Bunge limeelezwa leo Ijumaa Novemba 12,...

READ MORE

Aliyezawadiwa Kitabu cha Shigongo Afunguka

MWANDISHI mahiri wa vitabu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo, kupitia magazeti bora ya michezo ya Spoti Xtra na Championi,...

READ MORE

Wanne Mbaroni kwa Kukutwa na Meno ya Tembo

Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limefanikiwa kuwakamata watu wanne wakiwa na Nyara za serikali amabazo ni meno  mawili ya tembo....

READ MORE

Rais Samia Arejea Nchini Akitokea Misri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 11, 2021 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Mtandao wa Wezi wa Magari Wanaswa Pwani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia Watu wawili Ally Selemani, Mkazi wa DSM na Geoffrey Lusekelo Mkazi wa Mbeya...

READ MORE

Mbunge Aangua Kilio Bungeni – Video

SPIKA wa Bunge Job Ndugai amemeomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na Mbunge wa Mbogwe Nicodemas Maganga (CCM) ilikutafuta suluhu...

READ MORE

Hatimaye Gugai Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Shahidi Akutwa na Simu & ‘Diary’ Kizimbani

Shahidi wa pili upande wa mashtaka katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...

READ MORE

Mwanamke wa Kwanza Ateuliwa Waziri wa Mambo ya Ndani

RAIS wa Msumbiji Filipe Nyusi amemteua Arsenia Felicidade Felix Massinge kuwa waziri wa kwanza mwanamke wa Mambo ya Ndani nchini...

READ MORE