×

DC Awaka: Sasa Mtajua Kama Wahehe Bado Tunajiua au Tunauaga Wengine

MKUU wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Senyi Nganga amwaacha watu hoi wakati akitoa maagizo kuhusu kusimamia pesa za miradi...

READ MORE

AzamFC Warejea Nchini

KIKOSI cha Azam FC kilichokwenda nchini Zambia kwa ajili ya maandalizi ya ligi msimu ujao kimerejea leo nchini. Azam iliweka...

READ MORE

Gomes Awapa Mtihani Mastaa Wake

SIRI imefichuka kuwa kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes ndiye ameutaka uongozi wa timu hiyo kumtafutia timu kubwa hapa Afrika...

READ MORE

CCM Yatoa Maagizo kwa Serikali Sakata la Bei ya Mahindi – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), kununua tani 100,000 za mahindi...

READ MORE

Aucho Aupiga Mwingi Uganda, Yanga Wapagawa

PAMOJA viongozi wengi wa Yanga, kutojua zaidi uwezo wa kiungo wao mpya raia wa Uganda, Khalid Aucho, mmoja wa Wajumbe...

READ MORE

Shikalo, Sheva Waipa KMC Jeuri ya Ubingwa

  BAADA ya kukamilisha usajili na kuwatangaza nyota Miraji Athumani ‘Sheva’ na Faroukh Shikalo, Uongozi wa KMC umeweka wazi kuwa...

READ MORE

Majaliwa: Anzeni Kutoa Huduma Kupitia Vituo vya Huduma Pamoja

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Utamaduni

RAIS Samia Suluhu Hassan, kesho Septemba 7, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania...

READ MORE

Mfahamu Kanali Doumbouya Aliyeongoza Mapinduzi ya Guinea

RAIS wa guinea, Alfa Conde, mwenye umri wa miaka 83, alizuiliwa na wanajeshi wa kikosi maalum (GFS) jana Septemba 5,...

READ MORE

Iddi Pialali Apigwa TKO Uturuki

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Idd Pialali amepoteza pambano la ubingwa wa UBO dhidi ya Arvi Avci kwa TKO...

READ MORE

Dar: Mahabusu 20 Wampiga Polisi, Watoroka

MAHABUSU zaidi ya 20 waliokuwa wakishikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Maturubai, kilichopo Mbagala wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kubaka Mhudumu wa Baa

MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu mkazi wa Katoro, Justini Silivini (24), kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa...

READ MORE

Achinjwa Kisa Deni la Tsh 400,000

MKAZI wa Majengo Sokola, katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, Gongo Charles (30), ameuawa kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa kumdai...

READ MORE

Guinea: Mechi ya Kimataifa Yaahirishwa

Kufuatia machafuko nchini Guinea, mchuano wa timu ya taifa hilo wa kufuzu kwa kombe la dunia dhidi ya Morocco nyumbani...

READ MORE

Ratiba Ligi Kuu Bara leo

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imeweka wazi kuwa tayari imekamilisha uandaaji wa ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Bara...

READ MORE

SGR Makutupora – Tabora – Isaka Kuanza Soon

Shirika la Reli Tanzania linategemea kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya kisasa – SGR kipande cha Makutupora...

READ MORE

Lukaku Amvulia Kofia Ronaldo

MSHAMBULIAJI  hatari wa Chelsea, anayewika kwenye timu yake ya Taifa ya Ubelgiji, Romelu Lukaku mwenye umri wa miaka 28, amemvulia...

READ MORE

DED Malinyi Apata Ajali

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi (DED), Mkoa wa Morogoro, Joanfaith Kataraiya na dereva wake wamejeruhiwa katika ajali...

READ MORE