×

Gomes Ampa Masharti Magumu Mkude Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amemuwekea ngumu kiungo mkabaji wa timu hiyo, Jonas Mkude kwa kumtaka abadilike juu ya...

READ MORE

Rais Samia Aanza Rasmi Kurekodi Kipindi cha Royal Tour

Rais Samia Suluhu Hassan Ameanza Rasmi Kurekodi Kipindi Maarufu cha Royal Tour Chenye Lengo la Kuitangaza Tanzania Tanzania Kimataifa  

READ MORE

Simba: Tulieni, Tutawafurahisha

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba SC, amewatuliza Wanasimba kisha akasema: “Msimu wa 2021/22, tutafanya vizuri katika mashindano yote.” Msimu...

READ MORE

Rais Hichilema Awafuta Kazi Wakuu wa Jeshi na Polisi

  RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi...

READ MORE

Marekani Yazuia Shambulio Jingine Kabul

JESHI la Marekani kwa kutumia ndege zake zisizo na rubani katika Mji Mkuu Kabul limefanikiwa kuzima shambulio jingine baya la...

READ MORE

Hamza Azikwa Usiku, Risasi Zatajwa | Ccm,Wapinzani Wavutana Kauli Ya IGP Sirro | Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

DTB Wamepania Ligi Kuu, Tambwe Ndani

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba SC na Yanga, Amissi Tambwe raia wa Burundi amesaini mkataba wa kuitumikia timu ya DTB...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Agosti 30, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 30, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Hamza Azikwa Kisutu Usiku Dar

  Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa...

READ MORE

Yanga Yafungwa Mabao 2-1 Dhidi ya Zanaco ya Zambia

KIKOSI cha Yanga leo kimepoteza katika mchezo wa kirafiki kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Zanaco ya Zambia. Mchezo wa...

READ MORE

Koffi Atikisa Tamasha la Wiki ya Mwananchi -Video

MSANII Koffi Olomide maarufu Mopao leo Agosti 29, 2021 amefanya shoo ya aina yake kwenye Tamasha la Wiki ya Mwananchi...

READ MORE

Manara Amfunga Kamba za Viatu Feisal – Video

Msemaji wa Yanga, Haji Manara  leo amefunga kamba za viatu vya kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Feitoto’ ambaye amekuwa...

READ MORE

KILELE WIKI YA WANANCHI: Uwanja wa Mkapa Walipuka Kwa Shangwe (Picha +Video)

 LEO Uwanja wa Mkapa ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo kutakuwa na utambulisho wa wachezaji wapya pamoja na...

READ MORE

Ulega Aagiza Watendaji Kusimamia Maelekezo Ya Viongozi

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi  Abdallah Ulega (Mb) amesema atahakikisha kila maelekezo anayoyatoa anayafuatilia kwa karibu ili kujiridhisha na...

READ MORE

Mzee Mpili Alipuka, Manara Kurudi Yanga – Video

 MWANACHAMA maarufu wa Yanga Mzee Mzee Haji Omar Mpili leo Agosti 15, 2021 ametua Uwanja wa Mkapa kujionea kilele...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx Android  http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE