×

Live: Gwajima, Bunge Ngoma Ngumu | IGP Sirro, Sabaya Kortini Kesi Ya Mbowe

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Mwanamke wa Afghanstan Ajifungua Kwenye Ndege ya Kijeshi ya Marekani

KUTOKANA na vurugu zinazoendelea nchini Afghanistan imeelezwa kuwa mwanamke mmoja raia wa Afghanistan amejifungua mtoto wa kike ndani ya ndege ya jeshi ya...

READ MORE

Habari Zilizoandikwa Katika Magazeti ya Tanzania Leo Agosti 24, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 24, 2021.   Usipitwe na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS  https://apple.co/38HjiCx Android  http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Kauli ya Kamati ya Bunge Baada ya Kumhoji Gwajima – Video

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amehojiwa jana Jumatatu, Agosti 23, 2021 Dodoma kwa zaidi ya saa mbili na kamati...

READ MORE

Majasusi Yanga wadukua mechi ya Simba Morocco

YANGA imefanya umafia huko nchini Morocco baada ya kudukua mtandaoni linki ya mchezo wa kirafiki wa Simba na kuungalia wote,...

READ MORE

Yanga Jeuri, Yashusha Waarabu Wawili

YANGA ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mipango ya kuwaleta makocha wawili kutoka nchini Tunisia ambao ni kocha msaidizi...

READ MORE

Aliyekataa Chanjo Afariki kwa Corona

Mtangazaji wa vipindi vya radio katika Jimbo la Tennessee nchini Marekani Bw. Phil Valentine aliyekuwa mmoja kati ya watu waliozipinga...

READ MORE

Aomba Kuachiwa: “Hati ya Mashtaka si Yangu”

MSHTAKIWA namba tatu katika kesi ya unyang’anyi wakutumia silaha, Daniel Mbura ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imuachie huru arudi...

READ MORE

Huyu Sakho Ataua Mtu Mjue

UWEZO mkubwa ambao amekuwa akiuonyesha kiungo mshambuliaji mpya wa Simba Msenegali, Pape Ousmane Sakho umewaibua makocha wa timu hiyo ambao...

READ MORE

Rais Samia, Viongozi wa CCM Kuelekea Zambia

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ataondoka nchini kesho Agosti 24, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa...

READ MORE

Mbowe Agoma Kutoa Maelezo

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu leo Agosti 23, 2021 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar...

READ MORE

Taharuki Jose Chameleone Kuzidiwa, Mkewe Aanika Ukweli

MKE wa msanii mkongwe Afrika Mashariki, Jose Chameleone, Daniella Atim amewajia juu watu waliosambaza picha za mumewe wakati akipatiwa matibabu...

READ MORE

Watumishi TRA Waliofariki kwa Ajali Watajwa Majina Yao

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wamefariki dunia kutokana na ajali ya gari aina ya Landcruiser yenye nambari za...

READ MORE

Simanzi! Mazishi ya Mwalimu Kashasha – Video

  MWILI wa aliyekuwa mchambuzi nguli wa soka Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha (64) leo Jumatatu, Agosti 23, 2021, umepumzishwa kwenye...

READ MORE

Gwajima Agomea Kiti cha Kamati – Video

MBUNGE wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amekataa kutumia kipaza sauti (MIC) na kiti kilichokuwa kimeandaliwa na Kamati ya Kudumu ya...

READ MORE

Basi la Sauli Lapata Ajali Kibaha, Wanne Wajeruhiwa

WATU wanne wamejeruhiwa na wengine 40 kunusurika baada ya kutokea ajali ya basi la kampuni ya Sauli eneo la Picha...

READ MORE

Kilichomuua Meya Shinyanga Chatajwa

Mazishi ya Mwili wa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Mathew Nkulila (57) ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi...

READ MORE

Aucho Rasmi Aripoti Kambini Morocco

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mganda Khalid Aucho juzi aliripoti kambini nchini Morocco sambamba na kuanza mazoezi ya pamoja na wenzake....

READ MORE