×

Mimi Mars atoa ya moyoni

MSANII wa kike kunako Bongo Flevani, Mimi Mars ameyatoa yake ya moyoni kwa wadau wa muziki nchini Tanzania ambao kwa...

READ MORE

Kichapo cha Fury Chamchafua Wilder

KOCHA wa Bondia Deontay Wilder anayeitwa Malik Scott ametoa Taarifa za Bondia wake kuhusu majeraha aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya...

READ MORE

Omog Aanza na Washambuliaji Mtibwa

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Joseph Omog, ameanza kuisuka safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Jaffar Kibaya, Salum Kihimbwa na...

READ MORE

Maduka Kubalishwa Kuwa Sehemu za Kutolea Chanjo

Tangu kuanza kwa janga la COVID-19, Meridian Gaming Group, moja ya kampuni kubwa inayojihusisha na michezo ya kubashiri imekuwa ikisaidia...

READ MORE

Sancho Anafikirisha

KATI ya wachezaji ambao mashabiki wa Manchester United walikuwa na imani naye kubwa msimu huu, ni winga Jadon Malik Sancho....

READ MORE

Kamwaga Amuomba Radhi Samatta

Aliyekuwa Kaimu Afisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga amemuomba nahodha wa timu ya Taifa Stars, Mbwana Samatta kutoa msamaha kwa...

READ MORE

Lusajo Atangaza Kuutaka Ufalme wa Bocco

KINARA wa chati ya wafungaji bora kwenye Ligi Kuu Bara mpaka sasa, Reliants Lusajo amefunguka kuwa malengo yake makubwa ni...

READ MORE

Yanga Yapiga Hesabu Kali za Ubingwa

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa mpango wao mkubwa msimu huu ni kuhakikisha wanakusanya pointi tatu muhimu katika...

READ MORE

Ni Kosa la Jinai Kuvua Condom Bila Ridhaa

Serikali ya Jimbo la California nchini Marekani imetia saini mswada unaopiga marufuku kuvua kondomu wakati wa tendo la ngono bila...

READ MORE

Fiston Mayele Aichambua Simba

PENGINE mabeki wa Simba kwa sasa hawataki kulisikia jina la mshambuliaji mpya wa Yanga, Fiston Mayele kutokana na kuwaumiza katika...

READ MORE

Makambo Atoa Kauli ya Matumaini Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa Yanga raia wa DR Congo, Heritier Makambo, amewaambia mashabiki wa timu hiyo kwamba, wakimpa muda zaidi, basi watafurahia...

READ MORE

Simba Yamuacha kocha Dar

MAPEMA wiki ijayo, kikosi cha Simba kinatarajiwa kuanza safari kuelekea Botswana kucheza mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Babab Levo: Mtaona Matusi ya Milioni 100

BABA Levo ni komediani na mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva waliotafuta njia ya tofauti ya kutoka kisanii na kujulikana...

READ MORE

Rais Samia Awaonya Wanaotaka Kujua Rangi Yake Halisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali kuanzia Mawaziri hadi Wakurugenzi...

READ MORE

Petit Man: Mama Watoto Wangu Ana Raha

MENEJA wa wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva, Hamad Manungi ‘Petit Man’ amesema kuwa, mama watoto wake wa sasa ana raha...

READ MORE

Ukilikoroga Nakutumbua Bila Kutazama Kabila – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema amewataka viongozi mbalimbali  wa serikali kwenda kutumikia wananchi...

READ MORE

Exclusive: Fahyma Avunja Ukimya Kurudiana na Rayvanny

UKIAMBIWA utaje listi ya warembo wenye muonekano bomba Bongo, huwezi kuacha kumtaja mwanamitindo Faima Msenga almaarufu Fahyma ambaye amezaa na...

READ MORE

Rais Samia Akiwaapisha Viongozi Ikulu Chamwino – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 11, 2021  anawaapisha viongozi wateule ikulu Chamwino, Dodoma....

READ MORE

Infinix Zero X Pro Kuwa Tishio kwa Vivo Y53s

HIVI karibuni kampuni ya Infinix imeingiza sokoni simu mpya ya Infinix Zero X Pro simu ambayo tumeisikia sana kwenye habari...

READ MORE