×

Ngassa, Yondani Wagoma Kuagwa

WACHEZAJI wa zamani waliocheza kwa mafanikio ndani ya Yanga, Mrisho Ngassa na Kelvin Yondani wamefunguka kuwa wao kwa sasa hawana...

READ MORE

Shahidi Akana Kutapeliwa na Sabaya “Simtambui” – Video

Shahidi Mohammed Saadi kwenye kesi ya unyang’anyi kutumia silaha inayomkabili aliekuwa DC wa Hai Lengai Sabaya ameseme aliwaona tu kwa...

READ MORE

Fei Toto: Wanayanga Kuna ‘Sapraizi’ Yenu Kigoma

KIUNGO mshambuliaji fundi wa Klabu ya Yanga, Feisal Salum ‘FeiToto’, amefunguka kuwa baada ya kukamilisha michezo yao ya Ligi Kuu...

READ MORE

Shahidi Afunguka Alivyojificha Msikitini Kisa Sabaya – Video

Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo imeanza kusikilizwa...

READ MORE

Dar: Watumishi Watatu wa Serikali Wakutwa na Dawa za Kulevya

TAARIFA YA KAMISHNA JENERALI WA MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA GERALD MUSABILA KUSAYA KWA WANAHABARI TAREHE...

READ MORE

Waliooa vs Wasiooa Kivumbi Kama Kawa

KIVUMBI kama kawa wanasema kinazidi kutimka ambapo kwa sasa kila mmoja anahesabu siku kabla ya ule mchezo wa kukata na...

READ MORE

Gomes Afunguka Ishu ya Mshambuliaji Mpya Simba

MABAO ambayo wameyafunga washambuliaji watatu wa klabu ya Simba, John Bocco, Chris Mugalu na Meddie Kagere yamempa kigugumizi kocha mkuu...

READ MORE

Kamanda Muliro Ang’aka Ataja Wanaopaswa Kumiliki Bastola

Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema kuwa sio sifa kumiliki silaha endapo huna vigezo...

READ MORE

Ratiba Ligi Ya Mabingwa Afrika 2021/22

SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani Afrika (CAF), limetangaza ratiba ya kwanza ya mashindano ya vilabu barani Afrika kwa msimu...

READ MORE

Poulsen: Cecafa U23 Itatuongezea Ufanisi Kuelekea Kombe la Dunia

KOCHA mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Kim Poulsen amefunguka kuwa ana matumaini makubwa michuano ya Kombe...

READ MORE

Mbowe Ataka Chanjo ya Corona Iwe Lazima kwa Watanzania Wote

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe leo Jumatatu, Julai 19, 2021 ameongea na Waandishi wa Habari...

READ MORE

Ukimbizi, Uasi Hadi Mke wa Rais

SAFARI ya maisha ya mke wa Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye; Angeline Ndayubaha Ndayishimiye ni ndefu, baada ya kuzaliwa Juni 18,...

READ MORE

Gwambina Yavunja Mlango, Yadaiwa Laki Tano

TIMU ya soka ya Gwambina ya mkoani Mwanza italazimika kulipa shilingi laki tano kutokana na kuvunja geti dogo la Uwanja...

READ MORE

Zuma Kutolewa Gerezani?

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anaweza kutolewa gerezani kwa dharura ili aweze kuhudhuria mazishi ya kaka yake,...

READ MORE

Sabaya Kortini Tena, Kesi Yake Kusikilizwa Siku 14

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Silivester Nyegu na Daniel Mbula, leo wamepandishwa kwa...

READ MORE

Tanki la Mafuta Laua Watu 13

Watu wapatao 13 wamefariki dunia baada ya tangi la mafuta ya petroli kulipuka huko magharibi mwa Kenya, usiku wa kuamkia...

READ MORE

Kalemani Atoa Siku 90 Maisome Kupata Umeme wa Tenesco, Ashusha Bei

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ametoa siku 90 kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na wakala wa umeme vijijini...

READ MORE

Mashuhuda Waanika Tukio la Aliyeua Kisha Kujiua kwa Risasi

MASHUHUDA wamesimulia kuwa Gift Mushi aliyepigwa risasi jana alikumbwa na tukio hilo, baada ya kumshauri Alex Korosso aache tabia ya...

READ MORE

Achana na Tozo ya Miamala, Tozo Mpya ya Laini za Simu Kuanza Agosti

  WAKATI kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia...

READ MORE

Hili Ndo Gari la Gharama Zaidi Duniani, Sawa na Nyumba 600

KUMILIKI gari zuri, yawezekana ni ndoto ya kila mtu duniani, pamoja na mambo mengine kama nyumba, ardhi, kazi na vitu...

READ MORE