×

Mashabiki Yanga Watamba Hamtuwezi – Video

HAMTUWEZI! Hiyo ndiyo kauli waliyotoka nayo Wanayanga jana Uwanja wa Mkapa, Dar baada ya timu yao kuibuka na ushindi wa...

READ MORE

Balozi Sokoine: Wafanyabiashara Tumieni Balozi Za Tanzania

Wafanyabiashara nchini wanaofanya biashara nje ya nchi wameshauriwa kuwasiliana na balozi za Tanzania ili kupata taarifa sahihi kuhusu fursa za...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra na Jarida la Hot Pot kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 4, 2021

 Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 4, 2021. Usipitwe na...

READ MORE

Simba Yanyukwa na Yanga Mbele ya Rais Samia 1-0

  TIMU ya Wananchi Yanga imefanikiwa kuiduwaza Simba mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania...

READ MORE

Rais Samia Atua Uwanja wa Mkapa – Simba vs Yanga

Rais Samia leo Julai 3, 2021 mefika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mchezo wa Simba dhidi ya Yanga. Rais Samia aliwasili...

READ MORE

Championi Gazeti Lagawa Jezi za Simba/Yanga Kwa Wasomaji Wake

  Mapema leo Timu ya Maofisa Masoko wametembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa...

READ MORE

Live: Hali Ilivyo Nje Ya Uwanja, Mashabiki Wafurika, Kwa Mkapa

 LEO ndio Leo ambapo mechi iliyosubiriwa kwa hamu kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga inapigwa kwenye dimba...

READ MORE

Video: Simba 0-1 Yanga – Derby Ya Kariakoo, Uwanja Wa Mkapa

 NI mtanange wa Dakika 90 wa kukata na shoka kati ya SIMBA vs YANGA, unachezwa leo Julai 03, katika...

READ MORE

Gomes Atumia Utatu wa CMM Kuvunja Ukuta Yanga

KITAUMANA! Ndivyo unavyoweza kuielezea vita kubwa kati ya safu ngumu ya ulinzi ya Yanga, dhidi ya utatu hatari wa safu...

READ MORE

Yanga: Hatuihofii Dabi Hata Iwe Mara Tatu

OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli, ametamba kuwa wao hawana hofu na mchezo wa dabi dhidi ya Simba hata wakicheza...

READ MORE

Gari Linalopaa Lakamilika

DUNIA inakwenda kasi sana na kama huamini, sikia hii; gari-ndege ni gari lenye uwezo wa kupaa angani ambalo linakaribia kuzinduliwa...

READ MORE

Sababu ya Waamuzi Simba Vs Yanga Kurudiwa Hii Hapa

KAMATI ya Waamuzi wa Ligi Kuu Bara, imeweka wazi sababu za kurudia majina ya waamuzi waliopangwa kuchezesha mchezo wa Kariakoo...

READ MORE

Viongozi wa Afrika Waungana Kumuaga Kaunda

VIONGOZI wa Afrika Julai 2, wamejumuika  na wananchi wa Zambia katika ibada ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa rais wa...

READ MORE

Yassin Mustapha Arejeshwa Kumzuia Morisson

KATIKA kuhakikisha wanaizuia safu ya ushambuliaji ya Simba, iliyo na wachezaji hatari kama Bernard Morrison, kocha wa viungo wa timu...

READ MORE

Harmonize – Sandakalawe (Official Video)

 Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize Juni 26, 2021 ameachia video wimbo wake wa Sandakalawe. ⚫️ Kwa UPDATES...

READ MORE

Mo Awapa Luis, Chama Sh 350Mil Waifunge Yanga

KATIKA kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi, Bodi ya Wakurugenzi ya Simba imeahidi kuwapa wachezaji akina Luis Miquissone na Clatous Chama...

READ MORE

Kwa Muziki Huu… Watakuja Kweli!

AISEE ni leo Julai 3, 2021 buana! Hatimaye imewadia. Ile siku ya watani wa jadi kukutana pale kwa Mkapa. Ni...

READ MORE

Nabi Akesha Akiwasoma Simba SC

BENCHI la Ufundi la Yanga lililo chini ya Kocha Mkuu raia wa Tunisia Nasreddine Nabi wametumia siku mbili sawa na...

READ MORE

A-z Nandy Kudaiwa Mil. 260

MWANAMUZIKI Bora wa Kike wa Tanzania, Faustina Charles Mfinanga au Nandy, ameingia matatani baada ya kufunguliwa kesi ya madai katika...

READ MORE