×

Messi Akubali Kubaki Barcelona

MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lionel Messi, amekubali kubaki Barcelona huku akikubali pia kupunguza mshahara. Messi sasa anajiandaa kusaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Askari Polisi Auawa

ASKARI Polisi wa Kenya Caroline Kagongo ambaye amekuwa akisakwa kwa wiki mbili kwa tuhuma za kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa...

READ MORE

Kajala Achukua Uamuzi Mgumu Kwa Paula

KUFUATIA maneno mengi juu ya mwanawe, Paula Paul au Paula Kajala kutokwenda shule kwa maana ya kidato cha tano na...

READ MORE

Zuchu Afunguka Kumroga Darleen

KWA mara ya kwanza, msanii mpya kunako Bongo Fleva, Zuhura Othaman au Zuchu amefunguka juu ya stori za mitandaoni kwamba,...

READ MORE

Gomes Awapa Kazi Maalum Miquissone, Clatous Chama

WAKATIwakisubiriwa kukabidhiwa kombe lao la ubingwa, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa haifikiri kabisa mechi yake ya mwisho...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Habari Zilizoandikwa Katika Magazeti ya Leo Julai 17, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 17, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Injinia Hersi afungukia fainali dhidi ya Simba

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi matarajio yao ya ushindi katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports...

READ MORE

Maumivu Kodi Mpya Miamala ya Simu, Vilio Kila Kona

NI maumivu, ndivyo unavyoweza kueleza kilio kilichojitokeza kwa baadhi ya watumiaji wa simu za mkononi nchini baada ‘kodi ya uzalendo’...

READ MORE

Watatu Warejeshwa Yanga

WAGHANA wa Yanga, Michael Sarpong na Lamine Moro, wanatarajiwa kuingia kambini kuungana na wachezaji wenzao mara baada ya mchezo wa...

READ MORE

Gomes Awatishia Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes ameibuka na kutamba kuwa walistahili kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutokana na...

READ MORE

Jembe la Burundi Lakubali Kutua Yanga

YANGA imepania kufanya kweli katika usajili msimu huu, hiyo ni baada ya kukamilisha usajili wa Shabani Djuma, sasa klabu hiyo...

READ MORE

Jafo Aupa Tano Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameridhishwa na uzingatiaji wa Sheria...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Ikulu Bujumbura Burundi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini Burundi...

READ MORE

Kesi ya Sabaya ya Unyang’anyi Yafutwa, Mapya Yaibuka – Video

KESI no 66/2021 ya Jamuhuri dhidi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Silivester Nyegu...

READ MORE

Bravo Kwa Yanga, Mmeonyesha Ukomavu Kwa Niyonzima

JANA tulishuhudia utaratibu mzuri walioanza nao Yanga kwa kumuandalia mechi maalum ya Ligi Kuu Bara kwa ajili ya kumuaga, kiungo...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Burundi “Hakuna Haja ya Kwenda Ulaya” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza  ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini Burundi kuanzia...

READ MORE

Babu Tale Aomba Msaada

MBUNGE wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale maarufu Babu Tale, amesema anahitaji kukutana na mwanasaikolojia kutokana na kipindi anachokipitia kwa...

READ MORE

Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano

Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imeshinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano kwenye maonesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam. Vodacom...

READ MORE