×

Majenerali Waliopanga Kumuua Rais wa Madagascar Wakamatwa

MAOFISA wa kijeshi wa ngazi ya juu na polisi wamekamatwa nchini Madagascar kuhusiana na jaribio la kumuua rais lililotibuka. Waliokamatwa...

READ MORE

Alichokisema Rais Samia Mbele ya Kagame – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mazungumzo kati yake na Rais Paul Kagame yamejikita zaidi katika kuimarisha na kukuza uhusiano wa...

READ MORE

Mbeya: Makada wa Chadema Wadaiwa Kukamatwa na Polisi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya kimedai kuwa makada wake watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi akiwemo...

READ MORE

Delta Imeongeza Maambukizi ya Corona Duniani

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Maambukizi ya virusi vya Corona yanaongezeka kutokana na...

READ MORE

Wataalamu Waeleza Sababu za Watoto Kutoshambuliwa na Corona

WATAALAM wa tiba za binadamu wamesema kuwa kufa na kuzaliwa kwa cell mara kwa mara kwa watoto ndio sababu inayopelekea...

READ MORE

Alcohol Pills, Teknolojia ya kulewa bila kunywa

Hii inaweza kuwa habari njema sana kwa wanywaji wa pombe! Inafahamika kwamba ili ulewe, lazima unywe kinywaji chenye kilevi ukipendacho,...

READ MORE

IGP Sirro: Mbowe Sio Malaika, Ukiandamana Utakung’utwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Simon Sirro amewataka wafuasi wa Chadema kuacha kuishinikiza mahakama ili Mwenyekiti wa chama hicho,...

READ MORE

Mbunge CCM Ajiuzulu Wiki 3 Baada ya Kushinda Uchaguzi

MBUNGE wa Jimbo la Konde, Sheha Mpemba Faki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejiuzulu ubunge kuanzia leo Jumatatu, Agosti 2,...

READ MORE

SGA Security Yapongezwa kwa Kuwajali Wafanyakazi

  Kampuni ya SGA Security imepongezwa kwa rekodi yake maalumu ya kuhakikisha wafanyakazi wake wanadumu kwa muda mrefu hadi umri...

READ MORE

Nunua TECNO Camon 17 na TECNO Spark 7 Ujishindie Zawadi za Sh. 100M

  Kampuniyasimu TECNO kupitia ukurasa @tecnomobiletanzania  inawakambusha  wateja wa simu za TECNO kuhusiana na promosheni ya VIMBA. TECNO inawataka wateja...

READ MORE

Msigwa: Hitaji la Watanzania Sio Katiba, Wapinzani Wasubiri – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wapinzani wanatakiwa kuwa na subira kuhusu suala la kukutana na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Msigwa Afunguka Hasara ATCL: Hakuna Faida Kwenye Tiketi – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ilionesha Shirika...

READ MORE

Breaking News: Ofisi za Kituo cha Tanesco Moro Zateketea – Video

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme katika wilaya za mkoa wa...

READ MORE

Msigwa Kuhusu Tozo: Huwezi Kwenda Mbinguni Bila Kufa – Video

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefananua matumizi ya tozo maalum ya miamala ya simu kwa kutaja maeneo matatu muhimu...

READ MORE

Waziri Biteko Atoa Siku 60 Leseni Zisizofanya Kazi Kufutwa

    Waziri wa Madini Doto Biteko, ametoa siku 60 za kufuta leseni za uchimbaji wa madini zilizohodhiwa na wawekezaji...

READ MORE

Chanjo Nchi Nzima Leo, Uamuzi Tozo Miamala Waiva-Video

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Waziri Jafo: NMB Mnaitendea Haki Tanzania na Watu Wake

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Selemani Jafo, ameitaja Benki ya NMB kuwa...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Agosti 2, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 2, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE