×

Nunua na Soma Gazeti la Championi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Juni 5, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 5, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato Imeingiza Kiasi Gani? – Video

  MBUNGE wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka gambo ameitaka Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya ukaguzi wa Hifadhi...

READ MORE

IGP Sirro Apangua Tena Makamanda, Magiligimba Apelekwa Ilala

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro leo Juni 4,2021 amefanya mabadiliko ya Makamanda watatu wa Polisi wa...

READ MORE

Chanjo ya Covid-19 Yaruhusiwa Kuingizwa Nchini

Rais Samia Suluhu Hassan amesema leo Juni 4, 2021, balozi na taasisi za kimataifa zimeruhusiwa kuleta chanjo za #COVID19 nchini...

READ MORE

Rais Samia Apokea Mapendekezo Ya Kamati ya COVID-19 

  Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2021 amekutana na kupokea mapendekezo kutoka kwa Kamati ya COVID-19  Ikulu, Chamwino...

READ MORE

Mali Zote za Sabaya Kufaishwa? – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, amesomewa...

READ MORE

Rais Samia Amwaga Mil. 500

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameidhinisha kuingizwa kwa shilingi milioni 500 katika kila Jimbo ili...

READ MORE

Chemical: Stereo Hapana, Naogopa Mume wa Mtu – Video

RAPA Chemical, amepiga stori kwenye kipindi cha BONGO 255 na kueleza ukubwa na namna tuzo ya mwanafunzi bora ilivyo na...

READ MORE

Rais Samia Aagana na Aliyekuwa Balozi wa China Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 4, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi...

READ MORE

Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, amesomewa...

READ MORE

Video: Uncle Shamte Avujisha Siri Za Mama Dangote | Hotpot

 KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Juni 04, wadakuzi wa mambo wamezungumzia ishu ya Diamond kudaiwa kununua gari ya ndoto...

READ MORE

Gari ya Diamond cha Mtoto

TANGU headlines za Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kukunua ndinga mpya aina ya Escalade kumekuwa na kelele nyingi mitandaoni....

READ MORE

Ajibu Awavuruga Yanga

MAPEMA tu kabla hata dirisha la usajili halijafunguliwa, tayari Kamati ya Usajili ya Yanga, inayoongozwa na kaimu wake, Eng. Hersi...

READ MORE

Zari Atua Bungeni Dodoma – Video

Mama Watoto wa Mwimbaji Diamond Platnumz , zarithebosslady ni miongoni mwa Wageni waliokaribishwa Bungeni Dodoma leo kushuhudia shughuli mbalimbali za...

READ MORE

Breaking: Ole Sabaya Afikishwa Mahakamani – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa na...

READ MORE

Mabosi Azam Wamgeukia Sure Boy

BAADA ya Jumanne wiki hii kumsainisha mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao, Prince Dube, uongozi wa Azam sasa upo kwenye...

READ MORE

Watoto 136 Watekwa Shuleni

MAOFISA wa Serikali katika Jimbo la Kaskakazini mwa Nigeria, wamethibisha kutekwa nyara kwa watoto 136 na kwamba wameanzisha mawasiliano na...

READ MORE

Harmonize Afunguka Nyimbo Zinazopigwa Nigeria -Video

 MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Harmonize, ameendelea kusisitiza kwa wasanii wa Bongo Fleva kutumia lugha ya Kingereza kwenye nyimbo zao...

READ MORE

Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2021 Hawa Hapa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu leo Jumanne Juni Mosi,...

READ MORE