×

Video: Magazeti ya leo Mei 20, 2021 – Luku Yaponza Vigogo

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 20, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Breaking: Mbunge Khatib Haji Afariki Dunia

MBUNGE wa Jimbo la Konde, kisiwani Pemba, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali...

READ MORE

Familia ya Mengi Yashinda Kesi ya Mirathi, Jacquiline Abwagwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa na aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Reginald Mengi...

READ MORE

Mwenyekiti wa Mtaa, Madereva Boda Wanusurika Kifo Kisa Dawa ya Nguvu za Kiume

WATU watatu akiwemo Mwenyekiti wa mtaa wa Sanyenge kata ya Old Shinyanga, Benjamin Andrew na waendesha pikipiki wawili wamenusurika kifo...

READ MORE

Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini Mbaroni kwa Tuhuma za Mauaji

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime (Vijijini), Simion Samwel maarufu zaidi kwa jina la K, anashikiliwa na Jeshi lla...

READ MORE

Mashehe wa Uamsho Washinda Rufaa

VIONGOZI wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheik Farid Hadi Ahmed na wenzake 35 wanaokabiliwa kesi...

READ MORE

Serikali Yaanika Mikakati ya Kutangaza Hifadhi ya Taifa Katavi

SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kuwa imekuwa ikitekeleza mikakati mbalimbali ya kuitangaza Hifadhi ya Taifa ya Katavi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amanikirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 20, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 20, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Ibada ya Kuaaga Mwili wa Mama wa Hoyce Temu yafanyika Moshi

Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira amesema watoa huduma wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC wamefanya uzembe...

READ MORE

Watu 3 wa Familia Moja Akiwemo Mtoto Wauawa Wakilinda Mazao

WATU watatu wa familia moja akiwemo mtoto mchanga wa miezi sita, wameuawa na watu wasiojulikana kwa kukatwa na kitu chenye...

READ MORE

Babu Ajichimbia Kaburi na Kujenga Mnara, Anunuliwa Jeneza

Katika kile wengi wanaweza kuelezea kama jambo lisilokuwa la kawaida, mwanaume Mnigeria akiwa bado hai na buheri wa siha, Chifu...

READ MORE

Mamia Wafurika TANESCO Kusaka Luku za Umeme

MAMIA ya wakazi wa Shinyanga wamemiminika katika ofisi za Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) mkoa wa Shinyanga na Wakala wa...

READ MORE

Songea: Mwanafunzi Kidato cha Tano Ajinyonga

WANAFUNZI wa kidato cha tano anayesoma katika Shule ya Sekondari ya Wasichana St. Agness Peramiho, Sophia Joel Mbano (19) amekutwa...

READ MORE

Yanga Yawapigisha Kwata Maafande wa JKT, Yawapiga 2 – 0

TIMU ya JKT Tanzania imeshindwa kufurukuta baada ya kuchapwa na Yanga kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya...

READ MORE

RC Kunenge Akabidhi Ofisi kwa Amos Makalla

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambae kwa Sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge...

READ MORE

Madaktari Watilia Mkazo Mapendekezo ya Corona

Chama cha Madaktari nchini Tanzania (MAT) kimesema kuwa serikali inapaswa kutoa takwimu sahihi kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona kwani...

READ MORE

Don Jazzy Amtetea Mondi “Tajiri Kuliko Walichosema Forbes”

CEO wa Label ya #MavinRecords Don Jazzy kutokea nchini Nigeria anaungana na Diamond Platnumz kuwalaani Forbes kwa orodha yao walioitoa...

READ MORE

Wananchi Washindwa Kupata Usingizi Kisa Mabomu

Mashambulizi ya anga na maroketi yalioendelea kuvurumishwa katika mzozo Israel na Gaza yamegharimu maisha ya watu zaidi huku miito ya...

READ MORE

Mzee Yusuph Afunguka Chanzo cha Kukamatwa na Polisi

WEEKEND iliyopita ilisambaa picha mitandaoni ikimuonesha mkali wa Taarab Mzee Yussuf amekamatwa na polisi akiwa amefungwa pingu, sasa Mzee Yussuf...

READ MORE