×

Balozi wa Marekani Amtembelea Waziri Prof. Mkenda

Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda amemwambia Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright kuwa Wakulima wa Tanzania wanahitaji uhakika...

READ MORE

Harmo Awafutia Kesi Kajala na Paula

HATIMAYEstaa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, amefuta kesi aliyokuwa amemfungulia mpenzi wake wa zamani, Kajala Masanja pamoja na binti...

READ MORE

Video: Alikiba x Abdukiba x K2ga x Tommy Flavour – Ndombolo

MWANAMUZIKI Alikiba ameachia video yake Ndombolo akiwa amewashirikisha Abdukiba, K2ga, Tommy Flavour

READ MORE

Injinia Ashusha Mashine Nyingine Yanga

HUKU wakiendelea na usajili wa kimyakimya, Yanga ipo kwenye mipango ya kukamilisha usajili wa kipa kutoka nchini Sudan kwa ajili...

READ MORE

Rais Samia Aandaa Mkeka wa Wakuu wa Wilaya

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema atafanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya hivi karibuni na atawapa nafasi zaidi vijana...

READ MORE

Breaking: Mzee Matata Afariki Dunia

MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela...

READ MORE

Waganga Wamponza Wema

WEMA Sepetu amefilisika au kuna jambo nyuma ya waganga wa kienyeji ambao ameamua kuwatangazia huduma zao kwenye kurasa zake za...

READ MORE

Video: Sabaya Ngoma Mbichi, Zitto Afunguka Kodi Ya Simu | Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Ishu ya Bwalya kuja Simba imefikia hapa

SIMBA itapata ugumu wa kuinasa saini ya mshambuliaji wa Al Ahly raia wa DR Congo, Walter Bwalya anayewaniwa na timu...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Kisa Manyama, Simba Waifuata Azam

TAARIFA za chini ya kapeti zinaeleza kuwa, Uongozi wa Klabu ya Simba umeufuata uongozi wa kikosi cha klabu ya Azam...

READ MORE

Nabi Amshusha Straika Mwarabu Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi hataki masihara, baada ya kupanga kushusha majembe mawili kutoka nchini Tunisia.   Hiyo yote...

READ MORE

Video: Global Habari Juni 15 – Rais Samia Amtengua Dc Na Ded

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa...

READ MORE

Kabangu: Nawasubiria tu Simba

MSHAMBULIAJI wa DC Motema Pembe ya DR Congo Kadima Kabangu amesema kuwa anawasubiri Simba wamalize michezo ya ligi kuu pamoja...

READ MORE

Wasanii Kuanza Kulipwa Mirahaba

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan leo Juni 15, amesema Serikali imeimarisha usimamizi wa hakimiliki za...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Akamilisha Zira Yake Pemba

Makamu wa Rais , Dkt. Philip Isdor Mpango, leo Juni 15, 2021 ametembelea ujenzi wa Nyumba za Makazi za Polisi...

READ MORE

Video: Rais Samia Azindua Meli 2 na Chelezo Bandari ya Mwanza

Rais Samia leo Juni 15, 2021 amezindua Chelezo 1 na Meli 2 zilizokarabatiwa katika bandari ya Mwanza (Ziwa Victoria) na...

READ MORE

Rais Samia Awatumbua DC Na Mkurugenzi Morogoro -Video

  Rais Samia Suluhu Hassan amewafuta kazi mkuu wa Wilaya ya Morogoro na mkurugenzi wa halmashauri hiyo baada ya kuchukizwa...

READ MORE

Rais Samia Ampa Shigongo Bilioni Tatu Za Maendeleo Buchosa -Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha zaidi ya shilingi bilioni tatu...

READ MORE

RC Hapi Amshukuru Rais Samia

MKUU wa mkoa wa Mara, Ally Hapi, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea...

READ MORE