×

Wanaharakati Walia Mbunge Kutolewa Nje Kisa Nguo

Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini yamekosoa hatua ya Spika wa Bunge Job Ndugai kumtoa nje Mbunge wa Momba,...

READ MORE

Majaliwa: Hakuna Makinikia Yanayouzwa Bila Kulipiwa – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema makinikia yote yanayosafirishwa yamefuata taratibu na hakuna makinikia yanayouzwa bila kulipiwa kwanza.   “Makontena yote...

READ MORE

Drake Atakomba Tuzo 18 BET?

TANGU alipodondosha mixtape yake ya So Far Gone, Drake amekuwa msanii mwenye uhakika wa ‘namba’ kwenye chati mbalimbali za muziki...

READ MORE

Bibi wa Miaka 72 Ateseka na Mimba ya Miaka 30

Bibi mmoja mwenye umri wa miaka 72 nchini Nigeria anakumbana na maisha magumu kutokana na hali yake isiyokuwa ya kawaida....

READ MORE

Karia: Siwezi Kuifanyia Mabaya Yanga, Nimewasaidia Sana – Video

KWA mara ya kwanza, leo Juni 03, Rais wa TFF, Wallace Karia, ametembelea ofisi za Global Group na kufanya mahojiano...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Ujumbe Kutoka Kwa Rais Kagame

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo June 3 2021 Ikulu Dodoma amepokea ujumbe kutoka kwa...

READ MORE

Rwanda Yaahidi Kukuza Ushirikiano na Tanzania

SERIKALI ya Rwanda imesema ipo tayari kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania, hasa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali....

READ MORE

Hatima ya Seth na Rugemarila Yamsubiri DPP

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, mazungumzo ya makubaliano (Plea bargain) ya kumaliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi...

READ MORE

Simba Watamba Kuifunga Ruvu Shooting Kirumba Leo

KOCHAMsaidizi wa Simba, Seleman Matola, amesema pamoja na ugumu wanaokutana nao katika kusaka pointi kutokana na kukamiwa na wapinzani wao,...

READ MORE

Dogo Janja Atamani Baba’ke Angeshuhudia Penzi Lake

STAA wa Hip Hop kutoka Arusha, Dogo Janja amesema anatamani marehemu baba yake mzazi angekuwepo hai na kushuhudia jinsi alivyobarikiwa....

READ MORE

Beki AS Vita Akubali Kutua Yanga

HATIMAYE beki wa kulia wa AS Vita na timu ya Taifa ya DR Congo, Djuma Shabani, amefunguka kuwa yupo tayari...

READ MORE

Balozi Mulamula Awasilisha Bajeti Mambo ya Nje

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka Mulamula (Mb), juzi aliwasilisha bungeni makadirio...

READ MORE

Bocco Mchezaji Bora Simba Mwezi Mei

Nahodha John Bocco ameibuka kidedea kwenye kinyang’anyiro cha Mchezaji Bora wa Mwezi wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba Fans Player of...

READ MORE

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Amnyonga Mwenzake

MWANAFUNZI  wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Iringa, Petronel Mwanisawa (22) amefariki dunia kwa kunyongwa na mpenzi wake....

READ MORE

Lukuvi Afuta Waraka Unaokataza Madiwani

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amefuta waraka namba moja  unaowaondoa madiwani kushiriki katika shughuli za...

READ MORE

Tanzia: Ismail Michuzi Afariki Dunia

  MWANAMUZIKI mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia leo asubuhi Juni 3,  katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar...

READ MORE

Mbunge Akiri Kutumia Bangi: Ina faida Nyingi – Video

  MBUNGE Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu amekiri kuwa akiwa na umri mdogo aliwahi kutumia majani na Mbegu za Bangi kama...

READ MORE

Homa ya Mafua ya Ndege Yaibuka China

RAIA mmoja wa China mwenye umri wa miaka 41 amethibitishwa kuwa na kisa cha kwanza cha maambukizi ya homa ya...

READ MORE

Vodacom Yashiriki Upandaji Miti Kuelekea Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani

Kampuni inayotoa huduma za simu ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na uongozi wa Mkoa wa Dodoma wameshirikiana kupanda mti katika eneo la...

READ MORE

Mbunge Aanika Sababu za Wanaume Kukosa Nguvu za Kiume – Video

Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala Amesema Tatizo la ukosefu wa lishe Bora kwa wanaume kukosa limekuwa...

READ MORE