×

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 14, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 14, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

McGregor Kinara kwa Mkwanja

Licha ya uwepo wa janga la Virusi Corona ambalo bado limeendelea kuathiri shughuli za michezo mingi duniani kote kwa kukosa...

READ MORE

Rasmi: AJ na Fury Kuzichapa Agosti 14

Sasa ni rasmi pambano la ngumi kati ya mabondia wawili waingereza Anthony Joshua na Tyson Fury litafanyika Agosti 14 mwaka...

READ MORE

Ferooz Anusurika Kupata Ukimwi

Siku ya Mei 12 ilitoka takwimu mpya za Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ambapo taarifa zinaeleza kuwa watu wa umri...

READ MORE

Guardiola: Klopp Amenifanya Nizidi Kuwa Kocha Bora

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kocha wa Liverpool Jorgen Klopp amemfanya azidi kuwa kocha bora kutokana na changamoto...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Amsimamisha Kazi DC Sabaya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu , leo Alhamis Mei 13, 2021 amemsimamisha kazi Mkuu wa...

READ MORE

Kanye aendelea kuteseka na Urais

Rapper Kanye West ameendelea kukumbwa na jinamizi la kesi, kisa Urais aliokuwa akiutaka mwaka 2020, inaelezwa kuwa kampuni ya SeedX...

READ MORE

RC Kunenge Akanusha Taarifa za Kuondolewa Wamachinga Mjini, Asema Wananchi Wazipuuze

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge amesema hakuna mfanyabiashara mdogomdogo almaarufu Kama Machinga atakaeondolewa Katika Jiji...

READ MORE

Waliouawa na Kujeruhiwa Mgodi wa Mwadui Kulipwa Mamilioni

HATIMAYE Kampuni ya Petra Diamonds ya nchini Uingereza inayomiliki mgodi wa almasi wa Williamson uliopo Mwadui, Shinyanga imekubali kulipa fidia...

READ MORE

Kigogo Msd Aachiwa Huru na Mahakama

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Mkurugenzi wa Logistiki Byekwaso Tabura leo Mei 13, 2021 wameachiwa...

READ MORE

Simba Yanasa Siri za Kaizer

JANA Jumatano, Kaizer Chiefs ilitarajiwa kucheza mechi ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini dhidi ya Moroka Swallows, ambapo Simba walipanga...

READ MORE

Fainali ya Uefa Kupigwa Ureno

SHIRIKISHO la soka barani Ulaya , UEFA limethibitisha kwamba mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya kati ya Chelsea...

READ MORE

Nabi Ashikilia Hatma ya Fiston, Shikhalo Yanga

WAKATI baadhi ya mastaa wa kikosi cha Yanga wakitarajiwa kumaliza mikataba yao mwishoni mwa msimu huu, uongozi wa Yanga umesema...

READ MORE

Mke wa Mugabe Mahakamani Kisa Mazishi ya Mumewe

Mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Grace Mugabe,ameagizwa kufika mbele ya mahakama ya kitamaduni kwa tuhuma za kufanya mazishi...

READ MORE

Lwanga, Luis Wachukua Nafasi za Wazawa Simba

IMEELEZWA kuwa, maisha ya nyota wazawa wawili Miraj Athuman ambaye ni kiungo mshambuliaji na Said Ndemla ambaye ni kiungo mkabaji...

READ MORE

CCM Yatoa Taarifa Mwenendo Wa Kampeni Jimbo La Buhigwe na Muhambwe

CHAMA Cha Mapinduzi kilifanya uzinduzi wa kampeni za ubunge katika Jimbo la Muhambwe Mei 4, 2021 na Jimbo la Buhigwe...

READ MORE

Niyonzima Aomba Kuondoka Yanga

TAARIFA zinaeleza kwamba, Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, hajasafiri na kikosi hicho kuelekea Lindi kucheza na...

READ MORE

Aliyemuua Mkewe, Amuua Mke Mwingine Tena

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe Kisha Kujinyonga

Edward Manyangu (41) Mkazi wa Wilaya ya Busega anadaiwa kumuua Dalali Maunga (41) kwa kumpiga na kitu kizito kichwani baada...

READ MORE