×

Nani Kufuzu Hatua Ya Fainali Kunako Ligi Ya Uefa Na Europa?

Baada ya kutifuana kwenye michezo ya awali, mzunguko wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Uefa na...

READ MORE

Mrembo Ajaribu Kujiua Mara Mbili Mfululizo Kisa Mapenzi

MREMBO na mwigizaji mahiri kutoka nchini Ghana mwenye shepu matata, Princess Shyngle amelazwa katika hospitali moja nchini Marekani baada ya...

READ MORE

Rais Samia Awasili Ziarani Kenya (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 4, 2021 amewasili nchini Kenya ambako anafanya ziara...

READ MORE

Basata Yapiga Chini Ngoma Ya Nay Wa Mitego

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu Nay wa Mitego leo Mei 5, 2021 kupitia ukurasa wake wa...

READ MORE

Ajeruhi Mtoto kwa Kisu Kisha Kujiua

Shija Mwanzalima (30) amemchoma na kisu tumboni mtoto wake wa kambo Rachel Erasto (3), kisha kujichoma na kisu sehemu mbalimbali...

READ MORE

Mahakama Yamwachia Huru Mgombea Ubunge Bukoba Mjini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Bukoba imewaachia huru washtakiwa saba akiwemo Aliyewahi kuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba na aliyekuwa Mgombea...

READ MORE

Bocco Awatumia Ujumbe Mzito Yanga

NAHODHA wa Simba, John Bocco, amefunguka kuwa wanakwenda kupata ushindi mnono mbele ya watani zao, Yanga, watakapokutana Mei 8, 2021...

READ MORE

Bilionea Bill Gates na Mkewe Melinda Waachana

Bill na Melinda Gates wametangaza talaka yao baada ya miaka 27 ya ndoa, wakisema “hatuamini tena tunaweza kuwa pamoja kama...

READ MORE

Beki Yanga: Nabi Atawanyoosha Simba

BEKI anayeimbwa sana kwa sasa ndani ya Yanga tangu alipoanza kupewa nafasi ya kucheza, Dickson Job, amesema kuwa kuna mambo...

READ MORE

Kwani Yanga Wenyewe Wanasemaje

ZIMEBAKI siku nne kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga, kupigwa Jumamosi Mei 8 kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Mei 4, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 4, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

NMB Yaandaa Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Zanzibar

Waziri wa utalii na mambo ya kale Zanzibar, Leila Muhammed Mussa amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu kisiwani humo kuzitumia fursa...

READ MORE

Kajala Nahitaji Kupumzisha Akili Yangu

STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa kwa hivi sasa anahitaji kupumzisha akili yake kutokana na majanga aliyopitia.  ...

READ MORE

Sarpong: Tumejiandaa Vizuri Kuifunga Simba

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Michael Sarpong, amesema kikosi chao kimejiandaa vizuri kuibuka na ushindi katika mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya...

READ MORE

Morrison hatari yake ni baada ya dakika 118

MZEE wa kukera ndani ya ardhi ya Bongo, Bernard Morrison ambaye ni mali ya Simba kwa sasa akitokea Klabu ya...

READ MORE

Azam FC: Hatutoki Mikono Mitupu Msimu Huu

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba msimu huu wa 2020/21 hawatatoka mikono mitupu, watapambana kutwaa taji lolote lile katika...

READ MORE

Scholes, Owen Hargreaves wampigia saluti Cavani

WACHAMBUZI wa soka, Paul Scholes na Owen Hargreaves wamempa sifa nyingi mshambuliaji Edinson Cavani mara baada ya kuonyesha uwezo wa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi wa IMF

Rais Samia SuluhuHassan, leo amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Mkurugenzi Mtendaji waShirika la Fedha Duniani (IMF), Kristalina Georgieva...

READ MORE