×

Kumbe Sanchi Hakubadili Dini Sababu ya Mwanaume!

MREMBO mwenye figa matata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ ambaye kwa sasa anaitwa Surraiya baada ya kubadili dini ya kikristo na...

READ MORE

Nahodha AS Vita: Simba Hii Itatinga Nusu Fainali Caf

NAHODHA wa Klabu ya AS Vita kutoka DR Congo, Jeremy Mumberem, ameitabiria Simba kufanya vizuri kwa kusonga mbele dhidi ya...

READ MORE

Lowassa Amawaga Mamilioni Monduli

Mbunge wa Monduli, Fredrick Lowassa amechangia Sh11 milioni katika miradi ya maendeleo katika vijiji vya ujenzi wa nyumba ya daktari...

READ MORE

TMA Yatabiri Mvua, Upepo Mkali

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imesema kesho Mei 4 kuna uwezekano wa uwepo wa upepo mkali unaokadiriwa kufikia kilometa...

READ MORE

Takukuru Kuwafikisha Kortini Katibu Mkuu, Mhasibu CWT

Takukuru intafikisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Deus Seif na mweka hazina wa...

READ MORE

Serikali Kuibeba Taifa Stars

Katibu Mkuu wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali imejipanga kuisaidia Timu ya Taifa kwa kuipatia...

READ MORE

Mwizi Alala Usingizi Mzito Baada ya Kumuibia Bibi Kizee

Kumetokea kisa cha aina yake katika kijiji cha Mutomo, kaunti ya Kitui nchini Kenya baada ya mwizi sugu wa mabavu...

READ MORE

Kocha Yanga SC: Simba Hii ni Hatari

ALIYEKUWA kocha wa magolikipa wa kikosi cha Yanga msimu uliopita ambaye kwa sasa anahudumu katika kikosi cha Kagera Sugar, Manyika...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Wananchi Kufuga Simba

SERIKALI ya Afrika kusini imeweka wazi mpango wa kuzuia watu kuwazalisha simba majumbani kwa lengo la kuwahifadhi kama wanyama wa...

READ MORE

Rais Samia Atumbua Watatu

Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa viongozi watatu akiwemo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Wakala wa...

READ MORE

Simba Yafunguka Kufungiwa Kusajili

UONGOZI wa Simba umeibuka na kufungukia sakata la wao kufungiwa kufanya usajili kwa kipindi cha msimu mmoja na Shirikisho la...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Rais Obasanjo wa Nigeria

Rais Samia Suluhu Hassan, leo amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa Nigeria, Olesegun Obasanjo katika ikulu ya Chamwino...

READ MORE

Waziri Jafo Aagiza Mkurugenzi Akamatwe

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa Bw. Kaissy Mkurugenzi...

READ MORE

Ndugai: Iweje Wabunge 19 Wafukuzwe, Wote Wanawake?

Spika wa Bunge Job Ndugai leo amesimama bungeni kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa ikiwemo uwepo bungeni wa Wabunge 19 wa...

READ MORE

Dkt. Abassi: Peak Time Wamerudisha Hadhi Ngumi Nchini

MABONDIA na wadau wa mchezo wa ngumi za kulipwa juzi Jumapili waliweza kujumuika katika futari ilioandaliwa na Kampuni ya Peak...

READ MORE

Ndugai Amuonya Nape “Tuchunge Midomo Yetu” – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuonya Mbunge wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Nape Moses Nnauye kuchunga kauli...

READ MORE

Ndugai Atoa Majibu “Mdee na Wenzako Chapeni Kazi” – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge 19 wa viti maalum ambao wamefukuzwa na chama chao cha CHADEMA kuendelea kuchapa...

READ MORE

India Yapokea Msaada Kukabiliana Covid -19

TAIFA la India limeendelea kupokea msaada wa kimataifa ili kukabiana na uhaba wa Oksjeni wakati idadi ya vifo vya virusi...

READ MORE

Pasta Ageuza Baa Kuwa Kanisa la Kuabudia

WAKATI makanisa na baa zilifungwa kote nchini Kenya kwa sababu ya COVID-19, Mhubiri Ken Baraza wa Kanisa la Abundant Grace...

READ MORE

Jamaa Anusurika Kifo Akijisaidia

JAMAA mmoja amenusurika kifo kwa tundu la sindano baada ya mti kuangukia choo cha rununu (choo kinachohamishika) alimokuwa akijisaidia. Jamaa...

READ MORE