×

Grealish Awaliza Aston Villa

Kocha wa klabu ya Aston Villa, Dean Smith amethibitisha kuwa nahodha na kiungo wake tegemezi Jack Grealish ataendelea kuwa nje...

READ MORE

Carinhos Kuikosa KMC, Ntibazonkiza Ndani

  Kaimu kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Juma Mwambusi amethibitisha kuwa watawakosa nyota wanne kuelekea mchezo wa ligi kuu...

READ MORE

Kimei: Serikali Ikakope Nje

Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei amesema deni la taifa ni himilivu na thamani ya shilingi ni nzuri na Serikali...

READ MORE

Polepole ataka wakulima waunganishwe na Tehama

Mbunge wa kuteuliwa na rais Humphrey Polepole amesema ili kukuza masoko kwa wakulima inabidi yafanyike mageuzi makubwa ya Teknolojia ya...

READ MORE

Okwi Awatembelea Simba Kambini Kuwamaliza Waarabu

KIKOSI cha Simba kinachojiandaa na mchezo wao wa mwisho katika hatua ya makundi leo jijini Cairo kwenye mashindando ya Ligi...

READ MORE

Dkt. Kigwangalla Asema Atashitaki

  Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kubainisha matumizi mabaya ya fedha za...

READ MORE

CAG: ATCL Haina Ndege

ACHANA na hasara ya Sh 60 bilioni iliyopata Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

READ MORE

Lamine Moro Awaita Mashabiki kwa Mkapa -Video

NAHODHA wa Yanga, Lamine Moro sio mchezaji wa kukata tamaa katika majukumu yake, ameyasema hayo kuelekea mchezo wao dhidi ya...

READ MORE

Sports Pesa Yamkabidhi Mshindi wa Jackpot Mil. 500

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri SportPesa leo Aprili 9, 2021 imemkabidhi rasmi mshindi wa awamu ya sita wa Jackpot mfano...

READ MORE

Mbunge Akerwa Watanzania Kuitwa Wanyonge

Mbunge wa viti maalum Mh. Conchesta Rwamlaza amesema Watanzania sio wanyonge bali wanauwezo wakipangiwa mipango mizuri na kuelekezwa watasaidia kuleta...

READ MORE

Serikali Kuajiri Walimu 6,000

Serikali ya Tanzania imesema itaajiri walimu wapya 6,000 wa Shule za Msingi na Sekondari ifikapo Juni 2021 ili kujaza nafasi...

READ MORE

Profesa Muhongo: Umeme wa Maji ni Kujidanganya

Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.    ...

READ MORE

Jihisi Mwenye Nguvu Na Kasino Ya Mtandaoni Ya Meridianbet!

Mchezo wa Mini Power Roulette Wiki hii Meridianbet inakuletea mchezo bomba na wa kipekee uitwao Mini Power Roulette uliotengenezwa na...

READ MORE

Breaking: Mume wa Malkia Elizabeth, Prince Philip Afariki Dunia

Kasri ya Buckingham imesema mume wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Prince Philip amefariki dunia leo Ijumaa, Aprili 9, 2021,...

READ MORE

Yanga: Tunapindua Meza, Tulieni

UONGOZI wa Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na benchi la ufundi la timu hiyo, umeandaa mikakati mizito ya ubingwa wa...

READ MORE

El Classico Kuchezwa Wikiendi Hii!

Timu kubwa kibao kukutana katika viwanja mbalimbali wikiendi hii. Chagua Meridianbet na uweze kuwa mshindi wa kibingwa. Mchongo mzima upo...

READ MORE

Shigongo Amwaga Mifuko 150 ya Saruji Buchosa – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo kupitia kwa katibu wake Julias Butogwa amekabidhi mifuko 150 ya saruji kwa wananchi...

READ MORE

Stamina Awafungukia Wanafki Kwenye Maisha Yake

MKALIwa Hip Hop Bongo, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ amesema yeyote anayeleta unafiki kwenye maisha yake huwa ana mblock.   Akizungumza na...

READ MORE

Barbara Afichua Jeuri ya Simba CAF

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez, amesema kuwa moja ya vitu ambavyo vimefanya watishe kwenye michezo ya Ligi...

READ MORE

Gigy Money Aomba Radhi Tena

Msanii wa Bongo fleva na mfanyabiashara nchini, Gift Stanford, maarufu kama ‘Gigy Money’ ameendelea kuomba msamaha kwa kupunguziwa adhabu ya...

READ MORE