×

Odinga Amuomboleza Swahiba Wake Magufuli

Aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametuma risala za rambirambi kwa familia ya rais John...

READ MORE

Prof. Lipumba: Tumebaki Wakiwa

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais John Magufuli atakumbukwa kwa mengi ikiwemo ujenzi wa miundombinu na jinsi alivyowabana...

READ MORE

RC Chato: Mnachanga Msibani Marehemu Haongei

RC Geita amehitimisha ziara yake Chato kwa kushiriki kwenye kuchimba Msingi wa madarasa 4 na ofisi 2 kwenye ujenzi wa...

READ MORE

WHO Yamlilia Rais Magufuli

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Tedros Adhanom Ghebreyesus ni miongoni mwa watu waliotuma salamu za pole...

READ MORE

Ufahamu Ugonjwa wa Moyo wa Mfumo wa Umeme (Atrial Fibrillation)

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema sababu ya kifo cha Rais John Magufuli ni tatizo la moyo la mfumo...

READ MORE

Bilionea Anunua Mabao ya Luis

IMEFAHAMIKA kuwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ amewapa wachezaji wake Sh 250Mil baada ya...

READ MORE

Hakimu Mstaafu Geita Afariki Dunia

HAKIMU mstaafu wa Mahakama ya Mkoa wa Geita, Mhe. Elisha Sabuka, amefariki dunia, usiku wa kuamkia Machi 17, 2021 nyumbani...

READ MORE

Anjella ‘Nilitaka Kunywa Sumu’

MSANII mpya kutoka lebo ya Konde Gang. Anjella amesema kuna wakati alitaka kutoroka na kunywa sumu kwani mama yake hakuwa...

READ MORE

TFF Yasimamishaligi Kuu kwa Wiki Mbili

SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limefuta mchezo wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya...

READ MORE

CCM Yaitisha Kikao cha Dharura Dodoma, Maombolezo Siku 21 – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza siku 21 za maombolezo kwa wanachama wa chama hicho kutokana na kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti...

READ MORE

Kifo cha JPM, Ndugai Awataka Wabunge Wote Warejee Dodoma Mara Moja – Video

KUFUATIA kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, aliyefariki Dunia katika Hospitali ya Mzena...

READ MORE

Kifo cha JPM: RC Chalamila Atangaza Ibada Maalum – Video

MKUU wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kwa masikitiko makubwa yeye na mkoa wake wamepokea kwa masikitiko makubwa kuhusu...

READ MORE

Mufti wa Tanzania Amlilia Rais Magufuli

  Mufti Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguswa na kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021....

READ MORE

Ishu ya Metacha Kwenda Simba Ipo Hivi

BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa za kipa namba moja wa Yanga, Metacha Mnata kuwa njiani kujiunga na Simba kwa ajili...

READ MORE

Rais Magufuli ‘Alivyowaaga’ Watanzania Kabla ya Kifo

SAFARI ya mwisho ya maisha ya Rais wa Tanzania John Magufuli aliyefariki dunia jana, imeibua majonzi na mshtuko wa kitaifa...

READ MORE

Kauli ya Mwisho ya JPM Alipohudhuria Ibada St Peter- Video

“Tumsifu Yesu Kristo, Tumsifu Yesu Kristo” Rais wa Tanzania, John Magufuli alianza kusema hivyo alipohudhuria mara ya mwisho misa katika...

READ MORE

Kenyatta Atangaza Siku 7 za Maombolezo Kifo cha Magufuli – Video

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza siku saba za maomboezo nchini Kenya kufuatia Kifo cha Rais Magufuli na...

READ MORE