×

20 Wafa Katika Mlipuko Mkubwa Equatorial Guinea

WATU zaidi ya 20 wamefariki katika milipuko mikubwa iliotokea katika kambi ya jeshi katika mji wa Bata, mji mkuu wa...

READ MORE

Simba Kupata Ushindi wa Mezani Dhidi ya Al Merrikh

KLABU ya Simba huenda ikapata ushindi wa mezani dhidi ya Al Merrikh kutokana na timu hiyo ya Sudan kudaiwa kuwatumia...

READ MORE

Serikali Yaanika Makubwa Iliyotekeleza, Mikakati Mipya – Video

KATIKA kipindi cha miaka mitano, hadi Februari 2021, serikali ya awamu ya tano imefanikiwa kutekeleza jumla ya miradi 1,845 yenye...

READ MORE

Serikali Yastuka Laini za Simu Zinavyotumika Katika Matukio ya Uhalifu

  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dr.Faustine Ndugulile amewasihi Watumiaji wa simu kuangalia laini zilizosajiliwa kwa majina yao kupitia...

READ MORE

Serikali: Tunaikabili Corona Kisayansi na Kiasili

Serikali imesema inaendelea na jitihada za kuyakabili maambukizi mapya ya COVID-19 kwa kutafuta tiba mbadala na kusema licha ya kutumia...

READ MORE

Wanafunzi Zaidi ya 2,000 Hawajaripoti Shuleni Lindi

AFISA Elimu wa Mkoa wa Lindi, Victor Kayombo amesema wanafunzi 2,162 ambao ni sawa na 13% ya Wanafunzi 15,860 waliochaguliwa...

READ MORE

Morogoro: Muuguzi Achomwa Kisu na Mgonjwa, Afariki

MTAWA muuguzi wa Kituo cha Kuhudumia Wagonjwa wa Ukoma cha Nazareth kilichopo Ifakara, Agatha Mbalalila (50), amefariki baada ya mmoja...

READ MORE

Kapombe: Simba Imejipanga

BEKI wa kulia wa kikosi cha klabu ya Simba, Shomari Kapombe ametamba kuwa kikosi cha timu hiyo kimejipanga vizuri kuhakikisha...

READ MORE

Yanga Yafunguka Sababu ya Kumtimua Kaze

MWENYEKITI wa Kamati ya Ufundi ndani ya Klabu ya Yanga, Dominick Albinus amesema kuwa sababu kubwa iliyowafanya waachane na benchi...

READ MORE

Kocha Simba Afungukia Sakata Lake Na Morrison

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa taarifa ambazo zinaeleza kwamba ana ugomvi na mchezaji wake Bernard Morrison zimemsikitisha...

READ MORE

Utafiti: Wanaume Wanaathirika Zaidi na Covid 19 Kuliko Wanawake

UMOJA wa Mataifa umesema virusi vya Corona vinasababisha vifo kwa wanaume wengi zaidi Barani Afrika kuliko wanawake ambao wao wanaandamwa...

READ MORE

Careen: Mwanamme Kumpa Pesa Mwanamke Si Kuhonga

  BABY mama wa msanii Barakah The Prince ambaye ni Video Vixen, Careen Simba, amesema ni jukumu la mwanamme kumpa...

READ MORE

Klopp: Tunapita Kwenye Mateso Makubwa Uwanjani

KUPOTEZA kwa kichapo mbele ya Fulham kumemfanya Kocha Mkuu wa timu ya Liverpool, Jurgen Klopp, aweke wazi kuwa mateso ambayo...

READ MORE

Azam FC Hawajakata Tamaa Ligi Kuu

VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Azam FC amesema kuwa bado hawajakata tamaa licha ya kupata sare ya bila kufungana mbele...

READ MORE

Hawa Nd’o Makocha Wanaotajwa Kumrithi Kaze Yanga

IMEELEZWA kuwa miongoni mwa makocha ambao wanatajwa kubeba mikoba ya benchi la ufundi ndani ya kikosi cha Yanga kilichokuwa kikinolewa...

READ MORE

Man United Yaitungua Man City Mbili Kavu

OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa vijana wake walipambana kwa hali na mali na kufanikiwa kusepa...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Americares, Technical Lead- Reproductive Maternal Neonatal (TL-MNH)

TITLE: Technical Lead- Reproductive Maternal Neonatal and Child Health (TL-MNH), Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) Project DEPARTMENT:  International Partnerships &...

READ MORE

Halotel, Yawasaidia Wanawake Siku ya Wanawake Duniani

Katika kuazimisha siku ya wanawake duniani, kampuni ya Halotel Tanzania imesherekea kwa kuunga mkono juhudi za wanawake katika majukumu yao...

READ MORE

CEO Simba Atoa Ufafanuzi Sakata la Morrison na Gomez

  BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba amesema kuwa hakuna ugomvi wowote uliopo kati ya mchezaji wao, Bernard...

READ MORE