×

Msami Baby: Simjui Kajala, Ndio Nani

Ni ‘headlines’ za msanii na mkali wa kucheza Msami Baby ambaye amejitokeza na kusema hamjui Kajala Masanja ndio nani baada...

READ MORE

Bondia ‘Marvelous’ Afariki Dunia

Bingwa wa zamani wa dunia wa uzito wa kati Marvin Hagler ‘Marvelous’ amefariki akiwa na umri wa miaka 66. Raia...

READ MORE

Museveni Akanusha Kupewa Chanjo ya Covid 19

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amesema bado hajaruhusu wataalamu wa afya wampe chanjo ya Corona na wala Mkewe Janeth Museveni...

READ MORE

Astrazeneca: Hakuna Ushahidi wa Chanjo Kugandisha Damu

  KUFUATIA mataifa mbalimbali ulimwenguni kusitisha matumizi yake, Kampuni ya #AstraZeneca imesema hakuna ushahidi wa hatari ya kuganda damu kutokana...

READ MORE

Kesi ya Kambole Kufutwa Uwakili Kuanza Kujadiliwa Leo

Mwanasheria Mkuu wa Serikali alifungua kesi dhidi ya Mawakili Jebra Kambole na Edson Kitalu akitaka wafutwe Uwakili kwa madai ya...

READ MORE

Burna Boy na Wizkid Washinda Tuzo za Grammy

WASANII    maarufu wa Nigeria Burna Boy na Wizkid wameshinda tuzo za Grammy za mwaka huu wa 2021. Burna Boy...

READ MORE

CAF Yaibana Simba Mechi ya El Merreikh

  Klabu ya Simba SC itacheza bila mashabiki kwa mara ya kwanza katika uwanja wake wa nyumbani kwenye Ligi ya...

READ MORE

Nafasi ya kazi 2 TAFORI, Madereva

POST DRIVER GRADE II – 2 POST POST CATEGORY(S) DRIVER’S ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER Tanzania Forestry Research Institute TAFORI APPLICATION...

READ MORE

Marufuku Wafungwa kutumika kwa Kazi Binafsi

Serikali imepiga marufuku wafungwa kutoka Magereza mbalimbali nchini kutumika katika kazi binafsi isipokuwa kwa kufuata utaratibu unaotambulika kisheria.    ...

READ MORE

Mwambusi Afunga Mjadala wa Kocha Yanga

WAKATI Yanga ikisaka kocha mkuu mpya, taarifa zinasema kwamba, Kaimu Kocha Mkuu timu hiyo, Juma Mwambusi, amekuwa kwenye vikao vya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Machi 15, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 15, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la Ijumaa...

READ MORE

Waziri Lukuvi Amaliza Mgogoro Sugu wa Ardhi Wazo

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi amehitimisha mgogoro wa muda mrefu baina ya wananchi wa...

READ MORE

Ninja Asimulia Magumu Wanayopitia Yanga SC

BEKI wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefunguka kwamba wamekuwa wakipitia wakati mgumu kutokana na safu yao ya ulinzi...

READ MORE

Video: Global Habari Machi 14 – Uongozi CCM Katavi Waridhishwa Na Mradi Wa Maji

 Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi na Sekretariet ya Mkoa wa Katavi wameridhishwa na mradi wa maji Muwese...

READ MORE

Tulia Mgeni Rasmi Pambano la Queen of The Ring

NAIBU Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Akson anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika pambano la...

READ MORE

Luis Aandaliwa Kuwamaliza Al Merrikh

BIG Bosi wa Benchi la Ufundi la Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amefichua kwamba anaelewa uzito wa mechi yao dhidi ya...

READ MORE

Meya Ilala Akabidhi Vyakula kwa Wajane Vingunguti

MEYA WA Jiji la Ilala, Dar es Salaam Omary Kumbilamoto kwa kushirikiana na taasisi ya Alif Tanzania amekabidhi vyakula kwa...

READ MORE

Meridian Bet Yatoa Msaada wa Vifaa Tiba

OFISA huduma wa jamii wa Meridian Bet, Amani Maeda na meneja mwendeshaji, Corrie Borman wamekabidhi msaada wa vifaa tiba mbalimbali...

READ MORE