×

Faili la Fiston, Metacha Mikononi Mwa Migne

UONGOZI wa Yanga, umepanga kumkabidhi Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo, Mfaransa Sebastien Migne faili la wachezaji wote wanaotarajiwa kumaliza...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Aprili 2, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 2, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Facebook Yapiga Marufuku ‘Sauti ya Trump’

Mtandao wa Facebook umeondoa video ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ukurasa wa mkwe wake. Facebook ilimpiga marufuku...

READ MORE

Rais Samia Aonya Manyanyaso kwa Wafanyabiashara, Fedha Zao Kuchukuliwa

Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kutanua wigo wa ukusanyaji kodi akionya kile alichokiita kuwaua...

READ MORE

Ufahamu ‘Mji wa Mashetani’ Libya

Kama mtu mzima wa familia, Abdel Manaam Mahmoud hakuwa na budi zaidi ya kuzika mwili wa kaka yake Esmail katika...

READ MORE

Teni The Entertainer Aachia Dude ‘Wondaland’

MWANAMUZIKI staa nchini Nigeria, Teni The Entertainer ameachia albamu yake mpya ya muziki inayokwenda kwa jina la “Wondaland”, ambayo kwa...

READ MORE

Balozi Katanga: Nilipata Taarifa za Uteuzi Nikiwa Airport

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Katanga leo Alhamisi Aprili Mosi, 2021 amesema alipokea taarifa kuwa ameteuliwa kushika wadhifa huo akiwa...

READ MORE

Itel Yamtangaza Diamond Kuwa Balozi Wake

Kampuni ya itel inayojishughulisha na  uzalishaji na usambazaji wa simu na vifaa vingine vya kielectroniki imemtangaza rasmi Nassib Abdual ‘Diamond...

READ MORE

Rais Samia Amewataka Wanaowaza 2025 Wasahau – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika mabadiliko ya wizara aliyoyafanya aliangalia sifa za...

READ MORE

Mkalimani Afunguka “Niliongea Mengi, Mmeliona Lile Tu”

Mkalimani Matungwa Mutatina aliyezua gumzo mitandaoni siku ya kumuaga Hayati Dkt John Pombe Magufuli Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, amesema...

READ MORE

Dkt. Mpango Amwagiza Mwigulu ‘Mapato Tril. 2 kwa Mwezi’ – Video

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amewaagiza Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Muungano na...

READ MORE

Ndugai: Uwaziri ni Cheo cha Muda , Bungeni ni Nyumbani – Video

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametoa somo kwa mawaziri na manaibu akiwataka kutekeleza vyema majukumu yao na kutosahau...

READ MORE

Chadema Yasusa Uchaguzi Muhambwe, Kigoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, kwa madai hautakuwa huru...

READ MORE

Simba Dhidi ya AS Vita, Mashabiki 10,000 Ruksa – Video

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiruhusu klabu ya Simba kuingiza mashabiki kwenye mchezo wao dhidi ya AS Vita...

READ MORE

Live: Rais Samia Anawaapisha Mawaziri Aliyowateua Jana Ikulu Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo April 01, amewaapisha mawaziri, baada ya jana Machi 31,...

READ MORE

Madagascar yakubali kupata chanjo ya corona

SERIKALI ya Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa...

READ MORE

Caf Yaruhusu Mashabiki 10,000 kwa Mkapa

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiruhusu timu ya Simba kuingiza washabiki 10,000 katika mechi yao ligi ya Mabingwa,...

READ MORE

Serikali Yasema Itapitia Utaratibu wa Malipo ya Mikopo ya Elimu

Serikali imesema ipo katika mpango wa kupitia utaratibu wa malipo kwa wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu ili wapunguziwe...

READ MORE

Mwambusi Ana Dk 360 za Kuishangaza Simba

 JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, ana takribani dakika 360 kusaka pointi 12, kabla ya kukutana na Simba katika...

READ MORE