×

50 Cent Ataka Kuzichapa na Mayweather

RAPA nguli nchini Marekani, Curtis James Jackson maarufu kama ’50 Cent’ amesema anataka kuingia ulingoni kuzichapa na bondia bingwa wa...

READ MORE

Bibi Auawa na Mchunga Ng’ombe Wake Ili Arithi Mali

  ANTONIA JITINDE (62) aliyeishi katika kijiji cha Zawa, Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, hakuwahi kuhisi kuwa ngo’mbe 25 na...

READ MORE

Baba, Mtoto Wanaswa Wakituhumiwa Kuuza Dawa za Serikali

MTEGO uliowekwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMD) Kanda ya Kusini umefanikiwa kumnasa Jamaly Sad na mtoto...

READ MORE

Breaking: Lori Lagonga Treni Vingunguti Dar

  Shirika la Reli Tanzania (TRC) limethibitisha kutokea kwa ajali ya treni leo alfajiri eneo la Vingunguti, Dar es Salaam...

READ MORE

Rais JPM Awapa Mwezi Mmoja Wakuu wa Mikoa, Wilaya – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kote nchini...

READ MORE

Mkataba wa Messi Wavuja, Barca Wageuka Mbogo

KLABU ya soka ya Barcelona ya Hispania, imesemaitachukua “hatua za kisheria” dhidi ya gazeti la Hispania la El Mundo baada...

READ MORE

Wanawake Arusha Waandamana Kisa Mauaji ya Mwenzao

JESHI la Polisi mkoani Arusha jana jioni lilitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanawake waliokuwa wakiandamana na kufunga barabara wakizuia kuzikwa...

READ MORE

Nafasi za Kazi FINCA Microfinance Bank (FINCA) – Head of Collections and Recovery

VALIDITY PERIOD: 20/01/2021 – 07/02/2021 DUTY STATION: DAR ES SALAAM POSITION: HEAD OF COLLECTIONS AND RECOVERY DEPARTMENT: COLLECTIONS AND RECOVERY   Summary Head of...

READ MORE

Marekani Yasitisha Chanjo kwa Wafungwa

  WIZARA ya Ulinzi ya Marekani imesema itasimamisha mpango wake wa kuwapa chanjo dhidi ya COVID-19 wafungwa wa makosa ya...

READ MORE

Jeshi Myanmar Lamkamata Kiongozi wa Nchi, Latangaza Hatari

JESHI la Myanmar limetangaza hali ya dharura likidai kufanyika udanganyifu wa kura katika uchaguzi, baada ya kuwakamata viongozi kadhaa akiwemo...

READ MORE

Mico Halal Kusimamia Vitoweo Vya Nyama Kuwa Sehemu Salama

TAASISI ya Mico Halal International Bureau imeleta neema mpya kwa walaji wa nyama ambapo sasa itasimamia machinjio yote nchini kuhakikisha...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 1, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 1, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

FT: SIMBA SC vs TP MAZEMBE (0 – 0) – SIMBA SUPER CUP

MTANANGE wa kukata na shoka kati ya SIMBA SC vs TP MAZEMBE ya Congo, unachezwa leo Januari 31, katika uwanja...

READ MORE

DSTV Chupuchupu Wale Kichapo Kwa Global FC

UNAWEZA ukasema watasimulia waendako, mara baada ya kikosi bora na ghali cha Kampuni ya Global Group, Global FC  kuupiga mwingi...

READ MORE

Mashabiki Wa Simba, Mazembe Wapewa Tiketi Bure Na Spoti Xtra

TIMU ya Masoko kutoka Kampuni ya Global Group kambao ni wachapishaji wa magazeti namba moja kwa habari za michezo kupitia...

READ MORE

Fiston Afanya Balaa Mazoezini

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Fiston Abdoul Razak raia wa Burundi, amefanya balaa la hatari mazoezini katika kujiandaa na mechi za...

READ MORE

Yacouba, Saido Washusha Presha Yanga

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa maendeleo ya nyota wao watatu ambao ni majeruhi ndani ya kikosi hicho ambao...

READ MORE

Dili la Gikanji Simba Layeyuka

DILI la Doxa Gikanji wa DC Motema Pembe ya nchini DR Congo kujiunga na Simba, limeyeyuka rasmi kutokana kiungo huyo...

READ MORE

Serikali Yaokoa Mil. 389 Ujenzi wa Jengo la Dharura Tabora

Wizara ya Afya imeokoa takribani shilingi milioni 389 katika ujenzi wa jengo la Idara ya huduma za wagonjwa wa dharura...

READ MORE