×

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Februari 18, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 18, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Ingizo Jipya Yanga SC Lakingiwa Kifua

FISTON Abdol Razack ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga, amekingiwa kifua na Kocha Mkuu wa timu hiyo Cedric Kaze...

READ MORE

Tanzia: Aliyewahi Kuwa Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Afariki

Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa amefariki dunia Februari 17. Pawa amewahi kushika nafasi mbalimbali ndani ya CCM...

READ MORE

Breaking: Balozi Kijazi Afariki Dunia

#TANZIA: Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. Dkt. John Kijazi kilichotokea leo Februari...

READ MORE

Yanga Yabanwa Mbavu na Kagera Sugar

LIGI kuu soka Tanzania bara iliendelea usiku wa leo 17 Februari 2021 kwa mchezo mmoja, vinara wa ligi hiyo, klabu...

READ MORE

Baraza la Maaskofu (TEC) Latoa Wito wa Kuheshimiana

BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha...

READ MORE

Tanzia: Mwandishi wa Habari Vedasto Msungu Afariki Dunia

Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa ITV na Radio One Stereo aliyebobea katika habari za Mazingira, Vedasto Msungu amefariki dunia leo...

READ MORE

Viongozi TZ na Mataifa Wamlilia Maalim Seif

  VIONGOZI mbalimbali wa Serikali nchini Tanzania na nje ya Tanzania wameomboleza kwa huzuni kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza...

READ MORE

Sportpesa Yaipa Mwaka Mwingine Namungo Fc

KAMPUNI ya mchezo ya kubashiri matokeo ya mpira, nchini ya Sportpesa, kupitia kwa mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa Sportpesa,...

READ MORE

TCRA Yazipiga Faini Bil. 38.1 Kampuni 6 za Simu

  MAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA), imezipiga faini ya shilingi bilioni 38.1 kampuni sita za simu kwa kosa la kutofikia...

READ MORE

Wasanii Wekezeni Kwenye Kazi Bora Si Kiki – Dkt Abbasi

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa msimamo kuwa Serikali haitapoteza muda na...

READ MORE

Zitto: Mwamba wa Demokrasia Umeondoka – Video

KIONGOZI  Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Mwenyekiti wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, alikuwa nguzo...

READ MORE

Mobetto, Rayvanny Waachiwa kwa Dhamana

  KAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Japhet Kibona, amesema ni kweli wasanii Hamisa Mobetto na Rayvanny walikuwa...

READ MORE

Ifahamu Historia ya Hayati Maalim Seif

Maalim Seif Sharif Hamad alizaliwa Okotba 22, 1943 na alipitia Shule za Uondwe na Shule ya Wavulana ya Wete Kisiwani...

READ MORE

Magufuli Amlilia Maalim Seif, Atangaza Siku 3 za Maombolezo

RAIS John MagufuliI amepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad,...

READ MORE

Breaking: Maalim Seif Afariki Dunia, Maombolezo Siku 7

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad,  aliyefariki leo Jumatano...

READ MORE

Dangote: Hatuna Mpango wa Kufunga Kiwanda Tanzania

Uongozi wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Tanzania kilichopo Mkoani Mtwara jana Febuari 16, 2021 kimekanusha taarifa za uvumi wa...

READ MORE

Tcra Wazipiga Faini Kampuni Za Simu, Watoa Siku 90.

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imezipiga faini kampuni za Simu za Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel kwa kutotoa huduma zenye ubora....

READ MORE

Zuma Kushtakiwa kwa Kudharau Mahakama

MWENYEKITI wa tume ya uchunguzi kuhusu madai ya rushwa yanayomkabili aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amesema anataka kiongozi...

READ MORE