×

JPM Afungua Shule ya Ihungo, Aonya Wanafunzi Kuendelea Kukaa Chini Dar – Video

RAIS John Magufuli, akiwa katika ziara mkoani Kagera, leo Januari, 2021, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha...

READ MORE

Wenyeviti Kamati 14 za Bunge Kujulikana Leo Dodoma

UCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati...

READ MORE

Kuchimba Dawa! Madereva wa Mabasi, Wenye Hoteli Kitanzini

  “UKIFIKA hotelini, kama huna fedha, utaishia kununua maandazi.” Joackim Mwakalobo, mkazi wa Mbalizi mkoani Mbeya, analalamika kuhusu gharama kubwa...

READ MORE

Amuua Babu Yake Baada ya Kumuona Anateseka na Maradhi

Saidi Kihundwa (98), Mkazi wa Kijiji cha Mlangoni katika Kata ya Gararagua, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuuawa kikatili...

READ MORE

Sangoma Asakwa Kusababisha Kifo cha Mwanaye Akimsafisha Nyota

POLISI  Mkoa wa Shinyanga inamsaka mganga wa jadi, Dela Megejuwa Lwaho (44), kwa kusababisha kifo cha mtoto wake, Juma Dela...

READ MORE

Sekondari ya Ihungo Yaongozewa ‘Mzigo’ – Video

RAIS John Magufuli amewasili Mkoani Kagera na leo amezindua Shule ya Sekondari Ihungo ambayo imejengwa upya baada ya kuharibiwa na...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Kubaka, Kumpa Ujauzito Binti Yake!

KIJANA mmoja mkazi wa kijiji cha Igunila kata ya Ziba wilayani Igunga mkoani Tabora, Sharif Idd Maganga (28) amekamatwa na...

READ MORE

Maelfu Wazuiwa Guatemala Kuingia Marekani

MSAFARA wa wahamiaji kutoka Amerika Kusini uliokuwa ukielekea nchini Marekani umekutana na virungu na gesi za kutoa machozi nchini Guatemala,...

READ MORE

Kumbe Mkali Wenu ni Ticha!

MSANII wa vichekesho anayefanya poa kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii, Jackson Supakila Miraji ‘Mkali Wenu’ amesema kuwa ukiachilia mbali...

READ MORE

Achana na Kelele, Huu Ndio Ukweli Kuhusu Baba Mondi – Part 1

BAADA ya kuwepo kwa maneno mengi juu ya ukweli wa Baba wa msanii Diamond Platnumz, Global TV Online imezungumza na...

READ MORE

Simbachawene: Nitawafagia Askari Hawa!

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema askari watakaoshindwa kuwabaini wahamiaji haramu hususani maeneo ya mipakani wanapoingilia...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 18, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 18, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Kisa Wafuasi wa Trump! Usalama Waimarishwa Bunge la Marekani

WAANDAMAJI nchini Marekani wamekusanyika nje ya majengo ya serikali kuunga mkono madai yasiyo ya msingi ya rais Donald Trump ya...

READ MORE

Video: Global Habari Jan 17 – JPM Awataka Watanzania Kufanya Kazi

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Tarehe 17 January 2021 ameungana na waumini...

READ MORE

Video: C Pwaa Azikwa Makaburi ya Mwinyi Mkuu Magomeni, Dar

MAZIKO ya Msanii wa Bongo Fleva, Ilunga Khalifa maarufu C Pwaa yamefanyika jioni ya leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu...

READ MORE

Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dkt. Nindi, taarifa ilioyotolewa...

READ MORE

Majonzi: Mwili Wa C Pwaa Ulivyowasili Nyumbani Kwao, Huzuni Yatanda

 MSANII Mkongwe katika tasnia ya Muziki Tanzania, Ilunga Khalfa maarufu kama C PWAA Amefariki dunia alfajiri ya leo Januari...

READ MORE

Video: Kocha Matola Azungumzia Sakata La Morrison, Usajili

 KOCHA Msaidizi wa Simba FC, Selemani Matola amefichua mkasa wa Mghana, Bernard Morrison kufuatia madai ya kiungo huyo kusumbuliwa...

READ MORE

Bobi Wine Kupinga Matokeo Mahakamani

ALIYEKUWA mpinzani mkuu kwenye uchaguzi wa urais nchini Uganda Bobi Wine amesema atakwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi uliomrejesha madarakani...

READ MORE