×

Rais Nyusi: Magufuli Sili Sembe, Mama Nyerere Alinipikia Mbuzi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi, amewasili Uwanja wa Chato Mkoa wa Geita katika ziara yake ya kikazi...

READ MORE

Mfanyabiashara Adai Kuporwa Eneo Alilonunua na Aliyemuuzia

MFANYABIASHARA Nicodemus Mollel mkazi wa Zanzibar amemshutumu Bwana Silvester mkazi Kijiji cha Msolwa Kata ya Kisanga Wilayani Kilosa mkoani Morogoro...

READ MORE

Bibi Harusi Afariki Dunia Baada ya Fungate

DESEMBA 11, 2020, Mastin Mukanga alifunga pingu za maisha na Linet Kavere katika harusi maridadi lakini bibi harusi aliaga dunia...

READ MORE

Akaunti za Facebook Zinazomwunga Mkono Museveni Zafungwa

WAFUASI wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, wameilalamikia kampuni ya Facebook kwa madai kuwa ilifunga akaunti zao kwenye mtandao huo....

READ MORE

Rais Amfuta Kazi Waziri wa Afya

RAIS wa Zambia, Edgar Lungu, amemfuta kazi waziri wa afya nchini humo, Chitalu Chilufya, ambaye mwezi Juni mwaka jana alikamatwa...

READ MORE

Alikiba Kutoa Albam Mwaka Huu

MKALIwa Ngoma ya Nakupenda, Alikiba amesema kuwa ishu ya kutoa albam kwa mwaka huu ipo kwa asilimia zaidi ya 100...

READ MORE

Video Mpya: Goodluck Gozbert Ft. Bony Mwaitege – Mugambo

Video Mpya: Goodluck Gozbert Ft. Bony Mwaitege – Mugambo  

READ MORE

Nick Minaj Kumlipa Chapman Bil. 1 Kesi ya Hakimiliki

MSANII wa muziki wa kufokafoka (Hip Hop) kutoka Marekani, Onika Tanya Maraj-Petty maarufu kama Nicki Minaj, atamlipa msanii Tracy Chapman...

READ MORE

Polisi Watajwa Kushirikiana na Waliovamia Bunge

  TUKIO la Marekani la wafuasi wa Rais Trump kuvamia Bunge limezua sura mpya baada ya baadhi ya Wawakilishi kusema...

READ MORE

Live: Rais Nyusi Awasili Nchini, Apokelewa na JPM

Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi, amewasili nchini hii leo Januari 11, 2021, katika ziara yake ya siku mbili wilayani Chato,...

READ MORE

Wakurugenzi Wakalia Kuti Kavu, Silinde Awapa Maagizo – Video

NAIBU waziri wa nchi, ofisi ya Rais – Tamisemi, David Silinde, ametoa maagizo kwa wakurugenzi wote nchini waliopewa fedha shilingi...

READ MORE

Ibenge Mguu Mmoja Simba

SI mara kwanza jina la Jean-Florent Ibengé kutajwa kwenye soka la Tanzania, safari hii anahusishwa kuinoa Simba baada ya kuondoka...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi  kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Gazet la...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Januari 11, 2021

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 11, 2021. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Mmoja Afariki Gari la RPC Likiteketea kwa Moto

GARI la Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita na gari ndogo la abiria aina ya Hiace jana, Januari 11, 2021,...

READ MORE

Muimba ‘Gospel’ Mhudumu wa Bar Alivyotaka Kubakwa na Mteja – Video

MWANADADA Ruska Renatus ambaye kwa sasa anafanya muziki wa injili ameeleza namna alivyopitia magumu kabla ya kuamua kuokoka ambapo alikuwa...

READ MORE

Wawili Wanusurika Basi Likitumbukia Baharini – Video

WATU wawili wamenusurika kifo baada ya basi la Pollman Tours na Safari Company walilokuwa wamepanda kuteleza na kuzama baharini katika...

READ MORE

Wawili Wafariki Katika Ajali Tarime

DEREVA wa Mkurugenzi wa Tarime Mji na Afisa Maendeleo ya Jamii jana Januari 10, 2021, walifariki dunia baada ya gari...

READ MORE

Serikali: Tuwe Wazalendo, Tuisapoti Stars

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wote kuwa wazalendo na kutoa sapoti ya kutosha kwa...

READ MORE

DC Gondwe: Tuache Maneno, Tufanye Kazi – Video

WAKAZI wa Wilaya ya Temeke wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo na kuhakikisha maeneo yake yanakuwa katika hali...

READ MORE