×

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Uwazi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 15, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 15, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Offset Aikataa Chanjo ya Corona: Sitaki Kuwa Sehemu ya Majaribio

Kinga ya COVID-19 ipo mbioni kuanza kutolewa nchini Marekani, lakini kuna wengi wameonekana kutia mgomo.   Rapa Offset ametangaza kuikataa...

READ MORE

Tanzia: Kocha wa Zamani wa Liverpool Afariki Dunia

GERARD Houllier, aliyekuwa kocha wa zamani wa Klabu ya Liverpool ametangulia mbele za haki akiwa na umri wa miaka 73...

READ MORE

Huduma za Google Zapotea Mtandaoni Duniani

  HUDUMA za mtandao wa Google ghafla leo (Jumatatu)  zilitoweka na kuleta athari kwa watumiaj iduniani.  Miongoni mwa watumiaji hao...

READ MORE

Rais Mwinyi Amtumbua Katibu Wake Siku 37 Baada ya Kumwapisha

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, Desemba 14, 2020 ametengua uteuzi wa Katibu wa rais, Suleiman Ahmed Saleh na...

READ MORE

Rais Tshisekedi Atangaza Kuunda Serikali Mpya

KATIKA hotuba yake mbele ya wanaseta na wanabunge, Rais wa DRC, Felix Tshikedi ametangaza tena nia yake ya kuunda serkali...

READ MORE

Uchebe: Siwezi Kumshambulia Mtu Mtandaoni

ALIYEKUWA mume wa msanii Shilole, Uchebe amesema sio kila anachofanya mtandaoni ni kwa ajili ya kumuumiza msanii huyo bali ni...

READ MORE

Mahakani Kwa Makosa ya Kukata Noti za Bil 4.6 BoT

WALIOKUWA atumishi  13  Benki Kuu ya Tanzania (BOT)  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka sita likuwemo...

READ MORE

Rais Magufuli Awalilia Walikufa kwa Ajali Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, ametuma salamu za rambirambi kwa familia za Watu 14 waliofariki kwenye...

READ MORE

Bodi Ya Filamu Ilivyomkabidhi Bendera Muigizaji Aliyeshinda Tuzo ya Kimataifa

BODI ya Filamu nchini, leo imemkabidhi bendera ya taifa muigizaji wa filamu za Kibongo, Shahista Alidina maarufu Shaykaa baada ya...

READ MORE

Scorpion Kings, Tresor washuka na ‘Funu’

  KUNDI la muziki la Scopion Kings kwa kushirikiana na mkali wa Afro Pop, Tresor kutoka Afrika Kusini, wameachia singo...

READ MORE

Hakika Ruben: Mapenzi sasa ni kuvamia tu – Video

KATIKA kipindi cha ‘255 Front Page’ asubuhi ya leo Desemba 14, studio za +255 Global Radio ametutembelea mchekeshaji anayekuja kwa...

READ MORE

Mahakama ya Mafisadi Yaahirisha Hukumu ya Kiboko na Mkewe

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi maarufu Mahakama ya Mafisadi, imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya...

READ MORE

Mfungwa Mwingine Mweusi Anyongwa Marekani

MWANAMME aliyemuua binti yake karibu miaka 20 iliyopita amekuwa mfungwa wa pili Marekani kuuawa. Kifo cha Alfred Bourgeois kwa sindano...

READ MORE

Nilianza Kupika Chakula cha Kienyeji, Hawakunielewa, Leo ni Shujaa!

WAKATI  naanzisha wazo la kutoa huduma ya vyakula vya vya asili watu  wengi walinidhihaki kwa kupika vyakula vya kienyeji  na...

READ MORE

Polisi 9 Jela kwa Mauaji

Mahakama moja nchini Misri imewahukumu kifungo cha miaka mitatu maafisa tisa wa polisi kwa kosa la kumtesa na kupelekea kifo...

READ MORE

Anthony Joshua vs Tyson Fury “Bado Kidoooogo Kinawaka”

Promota wa bondia Anthony Joshua, Eddie Hearn amesema kuna mambo machache ya kukamilisha kabla ya kusaini mkataba wa pambano la...

READ MORE

Biteko Atumbua 4, Afuta Leseni 6 za Madini, Asweka Ndani 13

WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya na kuwasimamisha kazi watumishi watatu, kufuta leseni...

READ MORE