×

Youssoufa Moukoko Kinda Tishio Duniani, Hadi Haaland Anamshangaa

MZALIWA wa Yaoundé nchini Cameroon aliyechukua uraia wa Ujerumani, Youssoufa Moukoko, wikiendi iliyopita aliweka rekodi ndani ya Ligi Kuu Ujerumani...

READ MORE

Breaking: Diego Maradona Afariki Dunia

MKONGWE wa soka raia wa Argentina, Diego Maradona amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60 kwa mshtuko wa moyo,...

READ MORE

Yanga Yaisaidia Namungo Kimataifa

  KOCHA mkuu wa Namungo, Hemed Morroco amesema kuwa sare waliyoipata dhidi ya Yanga ni maandalizi tosha kuelekea katika mchezo...

READ MORE

Simba Yazinasa Siri za Wanigeria

WAMEKWISHA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabosi wa Simba kuzinasa mkononi siri zote zinazowahusu wapinzani wao, Plateau United ya Nigereia...

READ MORE

Azam vs Yanga… Vita ya Wakubwa, Kaeni Mbali

JIJI la Dar es Salaam, kwa mara nyingine leo Jumatano litakuwa kimya kwa muda kupisha mechi ya wakubwa wawili, Azam...

READ MORE

Sare vs Namungo Fc, Yanga Sc Inawalazimu Kucheza Mechi Mbili Pamoja

KIKOSI cha Yanga kwa sasa kiko katika nafasi ya pili ya Ligi Kuu Bara baada ya mechi 11 za Ligi...

READ MORE

Wanafunzi wa Tanzania Wang’ara Mashindano ya Dunia TEHAMA ya Huawei

Wanafunzi wa Kitanzania kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamefanikiwa kuwa miongoni mwa vinara wa Fainali za Shindano la...

READ MORE

Yanga Yarudi kwa Straika wa Zambia

BAADA ya Yanga kulazimishwa sare ya 1-1 na Namungo, Jumapili iliyopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa...

READ MORE

Azam vs Yanga… Vita ya Rekodi Bongo

LEO Jumatano kwenye Uwanja wa Azam Complex, Azam FC itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Yanga huku...

READ MORE

Ngoma mpya ya Diamond ft Koffi Olomide ‘Waah’

  Msanii Diamond Platinumz ametoa wimbo mpya akishirikiana na Legendi kutoka DRC Koffi Olomide unaoitwa ‘Waah’ 

READ MORE

Bieber Awakosoa Grammy Kuhusu Albamu Yake

MWIMBAJI wa muziki wa Pop na R&B kutokea nchini Canada, Justin Bieber, mwaka huu amepata nafasi ya kutajwa kuwania Tuzo...

READ MORE

Tamasha Kubwa la Speakers Conference Kutimua Vumbi Jumamosi Hii

Tamasha kubwa la Speakers Conference, linatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi, Novemba 28, 2020 katika Ukumbi wa City Mall, Mnazi Mmoja mkabala...

READ MORE

RC Malima Aunda Kamati Kuchunguza Kuungua Bweni

MKUU wa mkoa wa Mara, Adam Malima, ameunda kamati kwa ajili ya kuchunguza moto ulioteketeza bweni la wavulana la shule...

READ MORE

Mkali Wenu: Alikiba Aliniomba Kumwandikia ‘Mediocre’

MCHEKESHAJI maarufu nchini, Mkali Wenu,  ametoa kali ya mwaka baada ya kufunguka kwamba alimwandikia wimbo wa Mediocre  msanii Alikiba ambapo...

READ MORE

Mavituz ya Carlos Carlinhos Canatisha

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ametaja sifa tatu alizonazo kiungo wake mshambuliaji, Carlos Fernandez ‘Carlinhos’.     Carlinhos...

READ MORE

The Weeknd Amwaga Povu Kukosekana Grammy

THE WEEKND, mhanga wa tuzo za Grammy, ameibuka na kuwatupia lawama watayarishaji wake kwamba ni wala rushwa,  mara baada ya...

READ MORE

Mondi Atoswa Tuzo za Grammy

HATIMAYE vipengele vya tuzo za Grammy 2021 vimetajwa rasmi usiku huu, ambapo Burna Boy wa Nigeria ameendelea kudhihirisha kuwa ndiye...

READ MORE

Kaka wa 21 Savage Adaiwa Kuuawa kwa Kuchomwa Kisu

KAKA wa rapa maarufu nchini Marekani, Shéyaa Bin Abraham-Joseph ’21 Savage’, aitwaye Terrell Davis ameuawa kwa kuchomwa kisu jijini London....

READ MORE

Urusi Yatishia Kuilipua Meli ya Marekani

SERIKALI ya Urusi imesema moja ya vikosi vyameli zake za kivita kimebaini kuwepo kwa meli nyingine ya kivita ya Marekani...

READ MORE