×

Kifo cha Mlinzi wa Mfanyabiashara Songwe Chaibua Mazito

KIFO cha kijana Baraka Haonga ambaye alikuwa mlinzi wa Mfanyabiasha Baraka Mwakalinga ‘Bajo’ mkazi wa Mbozi mkoani Songwe, kimezua sintofahamu...

READ MORE

KMC FC Kuwafuata Mtibwa Sugar Kesho Morogoro

Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC kesho itaondoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo...

READ MORE

JPM Awaapisha Mawaziri, Awaonya Magrupu Mitandaoni – Video

RAIS  John  Magufuli leo Desemba 9, 2020, amewaapisha mawaziri na manaibu wao aliowateua tarehe 5 Desemba 2020, na akawaonya kutotumia...

READ MORE

Spika Ndugai: Tuendelee Kuangalia Sinema la Viti Maalam Chadema

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema zoezi la kuwaapisha wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema lilifuata utaratibu...

READ MORE

Biden Ateua Mmarekani Mweusi Kuwa Waziri wa Ulinzi

RAIS mteule wa Mararekan,i Joe Biden,  amemteua Jenerali Mstaafu, Lloyd Austin, kuwa waziri wake wa ulinzi, vyombo vya habari vya...

READ MORE

Vodacom Yasogeza Huduma kwa Wakazi wa Masaki Jijini Dar Es Salaam

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la Vodacom...

READ MORE

Simba Mzigoni Leo VPL

LEO Jumatano, Desemba 9, Namungo FC ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United, Uwanja wa Majaliwa saa...

READ MORE

Mitambo Mitatu ya Mabao Simba Kuikosa Polisi Tanzania Leo

KIUNGO wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck Rarry Bwalya leo ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

READ MORE

Shahidi Akwamisha Kesi ya Idris Sultan – Video

Kesi ya kutumia laini ya simu ambayo haijasajiliwa kwa jina lake inayomkabili msanii wa vichekesho nchini, Idris Sultan imepigwa kalenda...

READ MORE

Live: Spika Awakalia Kooni Chadema | Maalim Seif, Zitto Wakubali Yaishe | Front Page..

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Manchester United OUT Ligi ya Mabingwa, Yapigwa 3-2

NAHODHA wa Klabu ya Manchester United Harry Maguire amesema kuwa hawakustahili kufungwa usiku wa kuamkia leo mabao 3-2 dhidi ya...

READ MORE

Yanga Kuwashusha Majembe Manne Dirisha Dogo

KUELEKEA kwenye usajili wa dirisha dogo litakalofunguliwa Desemba 15, mwaka huu na kufungwa Januari 15, mwakani, Yanga imejipanga kuboresha eneo...

READ MORE

Kagere Agoma Kubaki Simba, Watatu Wamfuata

IMEFAHAMIKA kuwa, upo uwezekano mkubwa wa mastaa wanne kuondoka na wengine kutoongeza mikataba ya kuendelea kuichezea Simba pindi usajili wa...

READ MORE

Dullvan Ana Vijora Zaidi Ya 50

KIJANA mdogo ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kupitia kuchekesha kwa njia ya mtandao wa kijamii wa Instagram, Abdallah Sultan ‘Dullvan’ amesema...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 9, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 9, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

FIFA Yamfungia Kichuya, yaipiga Faini Simba

IMEELEZWA kuwa nyota wa kikosi cha Namungo FC inayoshiriki Kombe la Afrika ikiwa imepenya hatua ya mchujo, Shiza Kichuya amefungiwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risais kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

EABL yateua mkurugenzi mtendaji mpya pamoja na mkurugenzi wa KBL

Bodi ya wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Africa Mashariki (EABL), leo imemtangaza Jane Karuku kuwa mkurugenzi mpya wa kampuni hiyo...

READ MORE

Kishindo cha Ali Kiba Kufunga Mwaka Balaa

KING wa Bongo wa Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ ana kishindo kingine ambacho ni balaa la kufunga mwaka huu...

READ MORE

Kikongwe Adaiwa Kuuawa na Ndugu Geita

JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa kosa la mauaji ya mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Celestina...

READ MORE