×

Sarah Atupa Kijembe kwa Harmonize

MUDA mfupi baada ya Harmonize kushea picha na ujumbe wa kumtambulisha mtoto wake wa kike, Zulekha Kondegir,l aliyempata na mwanamke...

READ MORE

London Derby: Tottenham Hotspurs Uso kwa Uso na Arsenal Jumapili Hii

Ni muendelezo wa London Derby katika EPL kwa wiki mbili mfululizo. Baada ya derby ya kwanza kuchezwa Jumapili iliyopita ambapo...

READ MORE

Serikali Yaja na Mfumo Bora wa Hakimiliki

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ameahidi kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho...

READ MORE

Nafasi za kazi CVPeople Tanzania , Meneja Msaidizi wa MIS

Job Description Objective: To administrate country Information System and Information Technology in order to maintain it in operational conditions and...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Desemba 4, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 4, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Dun & Bradstreet Introducing the Innovative Financial Resiliency Model

The leading global business data and analytics provider Dun & Bradstreet  has introducing the innovative financial resiliency model which provide...

READ MORE

Rais Magufuli Ataja Sababu za Kuahirisha Sherehe za Uhuru

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Magufuli, ameahirisha sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa...

READ MORE

Wanafunzi Vyuo Vikuu Wahimizwa Kuongeza ujuzi wa TEHAMA

Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Ndaki ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), wametakiwa kutumia fursa...

READ MORE

Sun-El Aachia Ngoma Mpya ‘Fire’

  MSANII mwenye tuzo kibao kutoka nchini Afrika Kusini, Sun-El ameachia kazi yake mpya, inayokwenda kwa jina la ‘Fire’ akiwa...

READ MORE

Marekani Yaripoti Vifo vya Corona 2,700 kwa Siku Moja

RIPOTI kutoka Marekani zinasema watu 2,700 wameripotiwa kufa kwa siku moja ya Jumatano (Desemba 3, 2020) pekee ikiwa ni kiwango...

READ MORE

Irene Paul Humwambii Kitu kwa Shilole

STAA wa filamu za kibongo, Irene Poul amewakata vilimi mastaa wa kike wa Bongo kwa kuwaambia kuwa hakuna staa mkubwa...

READ MORE

Kiungo Yanga Apelekwa Sauz

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Balama Mapinduzi, muda wowote kutoka leo Alhamisi anatarajia kwenda Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa ajili ya kupata...

READ MORE

Simba Waikazia Yanga Dar

KATIKA kuelekea mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United ya Nigeria, uongozi wa Simba...

READ MORE

Asap Rocky Ajisogeza kwa Rihhana

MWANAMUZIKI wa miondoko ya Rnb Robyn Rihanna Fenty maarufu kama Rihanna na msanii wa Hip Hop Rakim Mayers A$AP Rocky...

READ MORE

Ufaransa Yampongeza JPM Kuingia Uchumi wa Kati

BALOZI  wa Ufaransa nchini, Frederic Clavier, leo Desemba 2, 2020, amemkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi, barua...

READ MORE

Namibia Yatangaza Kuuza Tembo kwa Mnanda

WIZARA ya mazingira ya Namibia imesema kwamba serikali ya nchi hiyo inapanga kuuza ndovu (tembo) 170 kutokana na hali mbaya...

READ MORE

UN Wapiga Kura Kuhalalisha Matumizi ya Bangi

TUME ya Umoja wa mataifa ya kudhibiti dawa za kulevya, imepiga kura na kupitisha pendekezo la Shirika la Afya Duniani...

READ MORE

Bil. 4 Kuboresha Miundombinu Jangwani Dar

SERIKALI kupitia Mfuko wa Barabara (Road Fund), imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni 4 kwa ajili ya kumlipa...

READ MORE

Vodacom yakabidhi zawadi kwa washindi promosheni ya Shangwe Shangwena

Mkuu wa Mauzo, Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Ayubu Kalufya (kulia) akimkabidhi funguo mshindi wa kwanza wa bahati nasibu...

READ MORE