×

Mondi Aibuliwa Dini ya Shetani

MAPYA yameibuka na kila mtu anasema lake hasa upande wa mahasimu wake, lakini kubwa ni kuibuliwa kwa skendo nyingine matata...

READ MORE

Uchebe: Sitaki Kubishana Na Shilole

ALIYEKUWA mume wa mwanamuziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa, hataki kubishana na mwanamke...

READ MORE

Sababu Hii…Morrison nje Simba vs Yanga SC

NYOTA wa Simba, Bernard Morrison huenda ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaoihusu timu yake ya zamani ya Yanga unaotarajiwa...

READ MORE

GSM Yamtengea Mamilioni ya Usajili Kaze

BAADA ya usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Burundi, Said Ntibazonkiza uongozi wa Yanga umesema kuwa upo tayari kufanya usajili...

READ MORE

Dayna Ajipakulia Minyama ya Umalkia

  SEXY lady kunako Bongo Flevani, Mwanaisha Nyange ‘Dayna’, amejipakulia minyama kama yote, akidai kuwa hata akikaa nje ya gemu,...

READ MORE

NEC Yakanusha Kura Feki Kukamatwa Kawe, Pangani na Kigoma _ Video

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha uzushi unaoenea mitandaoni ukisambazwa na baadhi ya watu wakidai uwepo wa kura feki...

READ MORE

Polisi Yamkamata Halima Mdee

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni asubuhi ya leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 walimkata Mgombea Ubunge wa Kawe,...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Apiga Kura Kilimani Dodoma

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,...

READ MORE

Majaliwa Apiga Kura Nandagala Ruangwa – Video

WAZIRI Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa,  amepiga...

READ MORE

NEC Kuanza Kupokea Matokeo ya Urais Leo Usiku

MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera, amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020, tume...

READ MORE

Simba Yapiga Chini Wanne

KLABU ya Simba imewafuta kazi Mwarami Mohamed (kocha wa magolikipa) na Patrick Rweyemamu (meneja wa timu] kutokana na matokeo mabaya...

READ MORE

Rais Barcelona Abwaga Manyanga

  KLABU  ya Barcelona imetangaza rasmi aliyekuwa Rais wao, Josep Maria Bartomeu, amejiuzulu nafasi hiyo pamoja na bodi yote ya...

READ MORE

Timu ya Banda Yauzwa, Atua Bongo

BEKI wa zamani wa Simba ambaye anakipiga ndani ya Highland Parks FC ya nchini Afrika Kusini, Abdi Banda amerejea nchini...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

‘Anayesema Atamwaga Damu, Nataka Lita 7 za Damu Yake’ – Video

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa onyo kwamba yeyote ambaye anasema atamwaga damu mkoani humo, yeye anataka lita...

READ MORE

RC Dar “Wananchi Nendeni Mkapige Kura, Mkoa Upo Shwari”

  Katika jiji la Dar es Salaam nako Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge mapema leo amepiga...

READ MORE

Magufuli, Mkewe Wapiga Kura Chamwino -(Picha +Video)

ZOEZI la kupiga kura linaendelea katika maeneo mbalimbali nchi nzima, ambapo watu wengi wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura tangu...

READ MORE

Julio: Tatizo la Simba ni Kocha Tu

ALIYEWAHI kuwa kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amemtaja kocha wa timu hiyo, Sven Vandenbroeck kuwa ndio chanzo cha matokeo...

READ MORE

Dkt. Mwinyi Apiga Kura Zanzibar

MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi,  amepiga kura Mjini Unguja ambapo ametoa rai...

READ MORE

Askari Wamnusuru Bocco na Kipigo

KATIKA hali ya kushangaza mshambuliaji wa Simba, John Bocco, juzi alinusurika kupigwa na mawe na mashabiki wa timu hiyo kufuatia...

READ MORE