×

Kolabo Ya Billnass, Nandy Tishio Afrika Mashariki

  ZIKIWA ni wiki kadhaa zimepita tangu Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘Billnass’ na mchumba wake Faustina...

READ MORE

Mugalu Arejesha Matumaini Simba SC

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mkongomani, Chris Mugalu, amerejesha matumaini kwenye kikosi cha timu hiyo katika kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

JPM Ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali....

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Novemba 6, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 6, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Zitto Kabwe, Freeman Mbowe Waripoti Polisi

Mwenyekiti Chadema Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe pamoja na wajumbe watatu wa kamati kuu wameripoti kituo...

READ MORE

Marais wa Afrika Wampongeza JPM Kwa Ushindi wa Kishindo

Marais waliyohudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli wampongeza kwa ushindi wa kishindo...

READ MORE

JPM: Uchaguzi Umekwisha, Tuchape Kazi

Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuapishwa katika jiji la Dodoma mbele...

READ MORE

Shilole: Ndoa Siyo Jela, Ukishindwa Sepa

MIEZI mich-ache baada ya kupitia mgogoro na mumewe Ashraf Uchebe, Mwanamuziki na mjasiriamali Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amefunguka kuwa ndoa siyo...

READ MORE

Man U Kumfukuza Ole, Pochettino Atajwa

KIBARUA  cha Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, huenda kikaota nyasi kutokana na mfululizo wa matokeo yasioridhisha.  Hatua hiyO...

READ MORE

Museveni Asema Hajui Mwelekeo wa Wapinzani Tz – Video

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema si rahisi kwa mgombea urais kuibuka na ushindi katika nchi za Bara la Afrika...

READ MORE

Yanga vs Simba Kuweka Historia Jumamosi Uwanja wa Mkapa

JUMAMOSI ijayo ni siku ya mechi kali yenye historia kwenye soka la Bongo ambapo mabingwa watetezi Simba watavaana na mabingwa...

READ MORE

Mbunge wa Moshi Vijijini Mwaka 2005 Dr. Cyrili Chami, Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kuanzia mwaka 2005 kupitia CCM Dr. Cyrili Chami, amefariki dunia usiku wakuamkia leo Novemba...

READ MORE

Dube, Chirwa Kulamba Tuzo Azam

MASTAA wa Azam FC, Mzimbabwe, Prince Dube na Obrey Chirwa wanatarajiwa kulamba tuzo ndani ya kikosi hicho baada ya uongozi...

READ MORE

Mkude Afungukia Vichapo Viwili Simba SC

Mkude afungukia vichapo viwili Simba SC JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Sven...

READ MORE

Magufuli Aapishwa Rais Tanzania – Video

ALIYEKUWA rais mteule wa Tanzania Dkt. John  Magufuli ameapishwa rasmi leo Novemba 5, 2020, jijini Dodoma katika Uwanja wa Jamhuri...

READ MORE

Biden Akaribia Kushinda Urais wa Marekani

MGOMBEA wa kiti cha urais kupitia chama cha Democratic nchini Marekani, Joe Biden ,amepiga hatua muhimu kuelekea kupata ushindi baada...

READ MORE

Ndoa ya Harmo, Sarah Yadaiwa Kuvunjika

NDOA ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo na mkewe Sarah Michelotti ipo gizani na...

READ MORE

Carlinhos Kuikosa Simba, Niyonzima Arejea

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos anatarajia kuukosa mchezo wa dabi ya Simba na Yanga utakaochezwa Jumamosi ijayo huku kiungo...

READ MORE