×

UN Yataka Dini na Imani Zote Kuheshimiwa

MWAKILISHI  wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa...

READ MORE

Wimbi Jipya Maambukizi ya Corona Laibuka Kenya

WIZARA ya Afya nchini Kenya imeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaofariki kutokana na ugonjwa wa...

READ MORE

Luis Amvuta Simba Lau Há King wa UD Songo

MEFAHAMIKA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, ndiye aliyetoa mapendekezo ya usajili wa kiungo mshambuliaji, Pachoio...

READ MORE

Malaria Yamuendesha Carlos Carlinhos

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kuteswa na Ugonjwa wa Malaria uliosababisha asiwemo katika...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Huyu Hapa Raia wa Kenya

TAARIFA zinasema kuwa, Klabu ya Simba, ipo kwenye mazungumzo na Kocha Abdul Idd Salim raia wa Kenya kwa ajili ya...

READ MORE

Watatu Wauawa Katika Shambulio Kanisani

WATU watatu wamefariki dunia kufuatia shambulio lililotokea katika Mji wa Nice nchini Ufaransa kanisani kwenye ibada ya asubuhi ambalo Rais...

READ MORE

Live Updates: NEC Ikitangaza Matokeo ya Urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliyofanyika juzi, oktoba 28, 2020 nchi nzima.  

READ MORE

Haya Hapa Matokeo Ya Ubunge Majimbo Ya Dar

 Jimbo la Ukonga, ameshinda Jerry Silaa, wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa ndiye mbunge wa jimbo hilo baada ya kupata...

READ MORE

Mbatia wa NCCR Chali Ubunge Vunjo, Kimei wa CCM Ashinda

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nkasi Kaskazini amemtangaza Dkt. Charles Kimei kupata kura 40,170 – Grace Kiwelu wa CHADEMA amepata...

READ MORE

Ally Keissy Chali, Chadema Yashinda Nkasi Kaskazini

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nkasi Kaskazini amemtangaza Aida Khenani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa mshindi wa...

READ MORE

Askofu Gwajima Ambwaga Halima Mdee Kawe – Video

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kawe amemtangaza Askofu Josephat Gwajima wa CCM kuwa ndiye mshindi wa jimbo hilo kwa kupata...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 30, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 30, 2020. Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Kitu Kingine cha Infinix Chaja Kufunga Mwaka

KAMPUNI ya Simu za mkononi ya Infinix mbioni kutamba tena na toleo la NOTE na hii ni baada ya toleo...

READ MORE

Bulaya Chali Bunda Mjini, CCM Yanyakua Jimbo

Ester Bulaya amepoteza jimbo la Bunda Mjini baada ya kushindwa na Robert Maboto wa CCM aliyepata kura 31,129 huku Bulaya...

READ MORE

Nyalandu Aangushwa Ubunge Singida

Mgombea ubunge kupitia Chadema Lazaro Nyalandu ameshindwa ubunge katika jimbo la Singida Kaskazini baada ya kushindwa na mgombea wa CCM,...

READ MORE

Abbas Tarimba Ashinda Ubunge Kinondoni – Video

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kinondoni na Kawe, Aron Kagurumjuli amemtangaza mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kinondoni Abass Tarimba...

READ MORE

Mrisho Gambo Amshinda Lema Ubunge Arusha Mjini

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amemtangaza Mrisho Gambo wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa...

READ MORE

Daraja la Jangwani Lafurika Mafuriko, Wananchi Washangaa!

Baadhi ya wananchi wakilazimisha kupita katikati ya mafuriko.  Baadhi ya wananchi wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Kariakoo na Posta...

READ MORE

Breaking News: Dkt. Mwinyi Ashinda Urais Zanzibar – Video

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dk Hussein Mwinyi kuwa mshindi wa...

READ MORE