×

Historia yaandikwa Kibaigwa: Dkt. Samia apokelewa na umati wa zaidi ya watu 200,000

Historia nyingine imeandikwa jana jioni katika mji wa Kibaigwa, Dodoma, baada ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...

READ MORE

CHAUMMA, CUF na AAFP Kuzindua Kampeni leo Sehemu Tofauti Nchini

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo, tarehe 31 Agosti 2025, kinatarajia kuzindua rasmi kampeni za mgombea wake wa urais,...

READ MORE

Magu Yadhihirisha Kuelewa Ilani ya CCM 2025/2030

WANANCHI wa Magu wamemuonesha wazi Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi kuwa wanaifahamu vyema Ilani ya...

READ MORE

Spika wa Zamani wa Bunge la Ukraine Andriy Parubiy Auwawa

Spika wa zamani wa Bunge la Ukraine, Andriy Parubiy, ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa magharibi wa Lviv siku...

READ MORE

Jesus Moloko Ajiunga na AS Kigali Kwa Mwaka Mmoja

Mchezaji Jesus Ducapel Moloko aliyewahi kukipiga kunako klabu ya Yanga SC na AS Vita Club, amejiunga na AS Kigali kwa...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Azuru Nyumba na Kaburi la Mwalimu Nyerere Butiama

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba...

READ MORE

Unaweza Kupata Mwenza Sahihi Mitandaoni?

DUNIA ya sasa mambo yamekuwa rahisi. Teknolojia imefanya vitu vingi ambavyo vilikuwa vinachukua mlolongo mrefu kutendeka kwa muda mfupi tu....

READ MORE

Morocco Mabingwa wa Afrika Mashariki CHAN 2024

HATIMAYE Pamoja CHAN 2024 imegota mwisho na mabingwa wakiwa ni Morocco baada ya kuoata ushindi katika mchezo wa fainali, Agosti...

READ MORE

Makamu  Wa Rais  Afanya Mazungumzo Na Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Zimbabwe 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa...

READ MORE

Dodoma Yampokea Dkt. Samia kwa Shangwe, Wananchi Wajaza Uwanja Kibaigwa

Wananchi wa Kata ya Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa, Mkoa wa Dodoma, leo wamejitokeza kwa wingi kufuatilia mkutano wa kampeni wa...

READ MORE

Majaliwa Ataka Mikakati Zaidi Matumizi Ya Nishati Safi Kwenye Magereza

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati...

READ MORE

Wananchi wa Gairo Wampokea Kwa Shangwe Dkt. Samia (Picha +Video)

Gairo, Morogoro – 30 Agosti 2025 – Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

Dkt. Hussein Mwinyi Achukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM

Zanzibar, 30 Agosti 2025 – Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Makamu Mwenyekiti...

READ MORE

Wazazi Waishtaki ChatGPT Wakidai Kusababisha Kifo cha Mtoto Wao

California, Marekani – Wazazi wa kijana aitwaye Adam Raine (16) wamefungua mashtaka dhidi ya kampuni ya teknolojia ya OpenAI na...

READ MORE

Majaliwa Azindua Matumizi ya Nishati Safi Kwenye Magereza

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa matumizi ya Nishati...

READ MORE

Chrome Ilivyowasha Moto Uzinduzi Tanzania, Chapa Mpya Inayosherehekea Vijana Wapambanaji Nchini

Dar es Salaam. Vijana wa Kitanzania na hustlers kutoka sehemu mbalimbali walikusanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe – Dar es Salaam (August...

READ MORE

Simba Yamalizana Beki Nangu na Kipa Yakoub Kutoka JKT Tanzania

Klabu ya Simba SC imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa Taifa Stars na JKT Tanzania, Wilson Nangu, kwa mkataba wa...

READ MORE

ACT Wazalendo Wamvua Uanachama Monalisa Ndala Baada ya Mvutano wa Uteuzi wa Urais

Chama cha ACT Wazalendo kupitia Tawi la Mafifi, kata ya Kihesa mkoani Iringa, kimemvua rasmi uanachama wake Monalisa Joseph Ndala...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kumsikiliza Mgombea wa CCM Morogoro (Picha +Video)

 Maelfu ya wananchi wamejitokeza kuhudhuria mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kumsindikiza Dkt. Nchimbi Viwanja vya Furahisha Mwanza

Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akihutubia maelfu...

READ MORE