×

Membe: Mimi Ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

MGOMBEA urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo. Bernard Membe,  leo Septemba 22, 2020, kupitia ukurasa wake wa Twitter amekanusha taarifa  kuwa...

READ MORE

UVCCM Songwe Yamwandama Lissu Kila Kona

  Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe umemtaka mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

READ MORE

Magufuli: Wakipata Madaraka Watatugawa Vipande-Vipande – Video

  MGOMBEA urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli, leo Jumanne, Septemba 22, 2020 ameendelea na kampeni zake...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Septemba 22, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 22, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Wanne Mbaroni kwa Kumuozesha Mwanafunzi Darasa la Tano

WAKAZI wanne wa Kijiji cha Isela Kata ya Samuye Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

Swizz Beatz, Alicia Keys Wampa Kazi Mondi

MTAYARISHAJI  nyota wa muziki nchini Marekani, Swizz Beatz, amejitokeza na kueleza juu ya alichofanya mwanamuziki maarufu wa Tanzania, Diamond Platnumz,...

READ MORE

Breaking: Mgombea Mwenza wa Urais Anusurika Kifo kwa Ajali Mbaya

Gari alilokuwa akiitumia Mgombea Mwenza wa Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

READ MORE

Shigongo Avunja Makundi Buchosa, Sasa ni Ushindi Tu – Video

  WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya Buchosa – Sengerema wametakiwa kuondoa tofauti zao na kivunja makundi...

READ MORE

Hatimaye Zuchu Avunja Ukimya Ku-date na Mondi

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Zuhura Kopa ‘Zuchu’ amekanusha vikali skendo ya kutoka kimapenzi na Bosi...

READ MORE

Harmonize Anawasha Moto Mpaka Zimbabwe – King 98

MSANII kutoka nchini Zimbabwe, King 98, amefunguka kuhusu kufanya kolabo na msanii na Boss wa Konde Gang, mtu mzima Harmonize,...

READ MORE

10 Wafariki Ghorofa Likiporomoka

WATU zaidi ya kumi wanahofiwa kupoteza maisha, huku wengine zaidi ya 25 wakiwa wamefukiwa na kifusi, kufuatia kuporomoka kwa jengo...

READ MORE

Wasanii Waliovishwa Kofia na JPM Hadi Sasa, Hawa Hapa…

MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na utaratibu wa kuwavisha kofia wasanii...

READ MORE

Snura: Mwanamke wa Kwanza Kuvalishwa Kofia na Rais – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mgombea anayetetea kiti chake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt....

READ MORE

Hakika kwa Yanga Hii, Mtapata Tabu Sana!

KOCHA Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic amewashusha presha mashabiki wa timu yake akiwaambia mabao yatakuja, kwani kilichomuhimu kwake kwanza ni...

READ MORE

Uganda Yafungua Mipaka, Yaruhusu Watalii Kuingia

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ametangaza kulegeza masharti ya kudhibiti ugonjwa wa corona — Covid-19 — kwa kufungua mipaka ya...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumtumia Barua ya Sumu Rais Trump

Mwanamke mmoja amekamatwa kwa kushukiwa ndiye aliyetuma barua yenye sumu kwenda kwa Rais wa Marekani, Donald Trump. Mtu huyo alitiwa...

READ MORE

Samatta Akubali Kuondoka Aston Villa

BAADA ya Mzee Ally Pazi kutoa baraka zote kwa mwanaye, Mbwana Samatta, kufanya maamuzi kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya...

READ MORE

Akamatwa kwa Kumzika Mjukuu Wake Akiwa Hai

POLISI katika Jimbo la Bauchi nchini Nigeria imemkamata mwanaume mwenye umri wa miaka 50 kwa madai ya kumzika mjukuu wake...

READ MORE

Wanafunzi Wawili Wafariki Wakiogelea Kwenye Bwawa Dar

WANAFUNZI wawili wa Shule ya Msingi ya St. Claret ya jijini Dar es Salaam, wamekufa baada ya kudaiwa kuzama kwenye...

READ MORE

Lissu Aahidi Kufanya Mabadiliko Uchumi, Utawala

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameahidi kufanya mabadiliko ya kiuchumi na kiutawala kama atachaguliwa....

READ MORE