×

Breaking: Wanane Wafariki Ajalini Muleba, Kagera

WATU wanane, akiwemo mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja ambaye mama yake amenusurika, wamepoteza maisha mkoani Kagera na wanne hali...

READ MORE

Masele Aaga Rasmi Bunge la Afrika

MAKAMU wa Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Stephen Julius Masele,  ameaga rasmi Bunge la Afrika (Pan-African Parliament –...

READ MORE

Ubungo: Prof. Kitila Achukua Fomu ya Ubunge NEC

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Kitila Mkumbo  na Mgombea ubunge wa Jimbo la...

READ MORE

Manara Aponda Usajili wa Tuisila na Mukoko Tonombe -Video

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa anawapenda mashabiki wa Yanga kwa kuwa ni wavumilivu ila kitendo cha kumbeba...

READ MORE

Mzee Yusuf Asimulia Walivyoanza Kula Wali

MFALME wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuf, amesema kuwa alipojiunga na Bendi ya East Africa Melody Taarab akiwa mpiga...

READ MORE

Membe Awapa Neno Waliokatwa CCM kwa Ajili Yake

MGOMBEA  urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe, amewakaribisha ndani ya chama hicho...

READ MORE

Video: Simba Yaagiza GPS Za Wachezaji, Kuwafuatilia Kila Hatua

MWENYEKITI wa Bodi ya Klabu ya Simba na Mwekezaji Mohammed Dewji amesema ameagiza vifaa kwa ajili ya kuwamonitor wachezaji wake...

READ MORE

Manara: ”Wasanii Wakubwa Wanaomba Kuwepo Simba Day Kesho” -Video

OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 21, 2020 amefika katika mjengo wa Global Group uliopo Sinza...

READ MORE

Hakimu Atuhumiwa Kupokea Rushwa 150,000/=

HAKIMU mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Magugu,  Adeltus Richard Rweyendera, amefikishwa mahakamani na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa...

READ MORE

Nani Atabeba Kombe La Ligi ya Europa Msimu Huu – Ni Inter Millan au Sevilla 

Ligi ya pili kwa ukubwa Mashindano ya Ulaya imefikia hatua ya fainali. Kwa uhuru tunawezakusema Ligi yaEuropa msimu huu imekuwa...

READ MORE

NEC Yatoa Siku 2 Waliochukua Fomu Bila Kutambulishwa na Vyama

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Biden Adai Trump Ameiingiza Nchi Gizani

MGOMBEA urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic, Joe Biden, amesema  Rais Donald Trump ameitumbukiza Marekani kwenye giza kwa muda...

READ MORE

Vigogo Waliopigwa Chini, Ubunge CCM Hawa Hapa!

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), jana Agosti 20, 2020, kimetaja majina ya wanachama wake wake watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika...

READ MORE

Kauli ya Masele Baada ya Kupigwa Chini Ubunge

Jana, Alhamisi, Agosti 20, 2020 Kikao Cha Halmashauri Kuu Kuu ya CCM Taifa (NEC) kimetangaza Majina ya Wagombea Ubunge kwenye...

READ MORE

Senzo: Sikuwa na Furaha Simba, Luis Ana Mkataba Simba

ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu Simba, Senzo Mazingisa Mbatha,  Agosti 20, 2020,  amewataka mashabiki wa timu hiyo ya Simba kukubaliana na kile...

READ MORE

Vodacom na Smart Codes watangaza Washindi wa Shindano la ‘Vodacom Digital accelerator Program 2020

  Kampuni ya teknolojia ya mawasiliano inayoongoza nchini, Vodacom Tanzania Plc na Kampuni ya Smart Codes wanayofuraha ya kutangaza washindi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 21, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 21, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Parimatch Yazinufaisha Timu za Tanzania

Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Parimatch Tanzania  imetimiza adhima yao ya kusaidia timu zenye uhitaji muhimu na ambazo ziliweza...

READ MORE