×

Mr. Kuku Kufikishwa Kortini, A-Z Sakata Zima Kumbe Liko Hivi!

NI vilio tupu, ndivyo vimetawala miongoni mwa Watanzania waliowekeza katika Kampuni ya Mr Kuku Farmers Ltd ambayo inamiliki mradi wa...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Mzigoni Wiki Ijayo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umefunguka kuwa unatarajia kumtambulisha rasmi kocha wao mkuu mapema wiki ijayo tayari kuanza kazi ya...

READ MORE

Morrison Aanza Kazi Rasmi Simba Kesho

KESHO Jumatatu, kikosi cha Simba kinatarajiwa kuanza mazoezi rasmi kujiandaa na msimu ujao wa 2020/21 kikiwa na nyota wake wote...

READ MORE

Rasmi Mugalu Atua Simba Akitokea Power Dynamo ya Zambia

CRIS Mugalu mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Power Dynamo ya Zambia, leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Simba. Nyota huyo...

READ MORE

BREAKING: Haji Manara Atangaza Kustaafu SIMBA “Nipo SIMBA” -VIDEO

MSEMAJI wa Simba SC, Haji Manara, leo Agosti 16, 2020 akizungumza na waandishi wa habari  makao makuu ya Simba, Msimbazi...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Simba Atua Nchini Leo

Sven Vandenbroeck Kocha Mkuu wa Simba ndani ya ardhi ya Bongo Agosti 16 kuendelea kukinoa kikosi hicho. Kocha huyo raia...

READ MORE

Faiza Aibu Zangu Zimenifikisha Mbali

MREMBO ambaye alijiingiza pia kwenye uigizaji; Faiza Ally, amefunguka kuwa kila kitu alichopitia maishani pamoja na aibu zote alizokumbana nazo...

READ MORE

Mume Amkata na Shoka Mkewe kwa Tuhuma za Kutoa Mimba

POLISI mkoani Rukwa wanamtafuta kijana mkazi wa mtaa wa Kanisa Katoliki Manispaa ya Sumbawanga, Joseph Kalolo ‘Mwamba’ (35) kwa tuhuma...

READ MORE

Mfanyabiashara Taalib Mbowe Mikononi Mwa Takukuru

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia kwa mahojiano Mfanyabiashara ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya White Star...

READ MORE

Aliyetoka kwa Msamaha wa Rais, Anaswa Wizi wa Ng’ombe

JESHI la polisi wilaya ya Igunga mkoani Tabora kwa kushirikiana na wananchi, wamemkamata Hamisi Juma (29) anayedaiwa kuwa mwizi sugu...

READ MORE

Ibrahim Ame Atambulishwa Simba, Asaini Miaka Miwili

IBRAHIM Ame beki aliyekuwa akikipiga Coastal Union leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Klabu ya Simba. Ame amesaini dili la...

READ MORE

Katibu Mkuu TFF Atambulisha Jezi Mpya za Azam FC

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao leo Agosti 16, 2020 ametambulisha jezi rasmi za Azam FC...

READ MORE

Binti wa Rais Putin wa Urusi Amepewa Chanjo ya Corona

Urusi imeanza uzalishaji wa chanjo mpya ya ugonjwa COVID-19, taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Shirika la habari la Interfax,...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yapongezwa kwa uwekezaji mkubwa walioufanya nchini

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo alipoitembelea kampuni...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Mavoko Aibuka na Mapya ya Lulu Diva!

Dar: Msanii wa Bongo Fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ amesema siyo kweli kwamba ana uhusiano wa kimapenzi la mwenzake, Lulu...

READ MORE

Nusu Fainali Europa Moto Utawaka; Sevilla vs Man United leo

Vita ya Nusu Fainali ya Ligi ya Europa Kupamba Moto: Nani Ataingia Fainali – Ni Sevilla au Manchester United? Upande wa pili ni Inter Millan au Shaktar...

READ MORE

CRDB Marathon: Mama Samia Akabidhi Mil 200 JKCI Muhimbili

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu, leo Agosti 16, 2020, amekuwa mgeni rasmi kwenye riadha ya CRDB MARATHON ambapo shindano...

READ MORE

Mzee Chilo Aomba Vifaa vya JWTZ!

Dar: Mkongwe wa filamu za Kibongo, Ahmed Ulotu ‘Mzee Chilo’ ameiomba Serikali kuwapatia wasanii majengo na vifaa vya Serikali ikiwemo...

READ MORE

Mgombea Asiyekuwa na ‘Jinsia Yoyote’ Afunguka Mazito – Video

Dar: Baby John (26) mkazi wa Kivule-Msongola wilayani Ilala jijini Dar es Salaam ambaye hivi karibuni aligombea uteuzi wa nafasi...

READ MORE