×

Mshauri White House Ajiuzulu

MSHAURIwa Ikulu ya Marekani, Kellyanne Conway, ametangaza kujizulu nafasi hiyo akisema ataacha rasmi kazi mwishoni mwa mwezi huu.   Katika...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni Kuishi Unyumba na Mwanafunzi

JESHI la Polisi Wilaya ya Igunga limemkamata mwalimu Keby Aron (32) kwa tuhuma ya kumweka kimada mwanafunzi wa miaka 17....

READ MORE

Mnangagwa Aruhusu Wajawazito Kuendelea na Masomo

RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amesaini sheria inayozuia shule za serikali kuwatenga wasichana ambao ni wajawazito kuhudhuria masomo.   Chini...

READ MORE

Haitham Akiri Kuishi kwa Kudanga, Asimulia Mazito!

HAITHAM Kim ni moja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi kunako anga la Bongo Fleva, amefanya vizuri kupitia ngoma zake...

READ MORE

Wamiliki wa Drones Waagizwa Kuzisajili TCAA

MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewaagiza wamiliki wa ndege ndogo zisizo na rubani (drones) kuhakikisha ndege hizo zimesajiliwa...

READ MORE

JPM Awasilisha Michango Ujenzi Msikiti Chamwino

RAIS  John Magufuli leo Jumatatu, Agosti 24, 2020, amewasilisha fedha za michango iliyotolewa katika harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti...

READ MORE

Kigogo MSD Aendelea Kusota Mahakamani

MAPEMA leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya...

READ MORE

Maelfu Waandamana Kumtaka Lukashenko Aachie Madaraka

KIONGOZI wa upinzani nchini Belarus, Svetlana Tikhanovskaya, amewataka waandamanaji wanaodai demokrasia kuendelea na juhudi hizo, akisema Rais Alexander Lukashenko hana...

READ MORE

Mali: Jeshi Lataka Serikali ya Mpito Miaka 3

JUMUIYA ya Kiuchumi ya nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) na kundi la wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Mali wamekubaliana kufunga...

READ MORE

CUF Yatangaza Wagombea Ubunge 136

CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimetoa orodha ya wagombea ubunge katika majimbo 136 kati ya 264 wa chama hicho katika uchaguzi...

READ MORE

Mabadiliko Yanga Yaiva, Senzo Aanza Kazi Rasmi – Video

KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi aliyekuwa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Simba SC, Senzo Mazingisa, kuwa mshauri wao ambapo atashirikiana na...

READ MORE

Sakata la Morrison, Yanga Yatua FIFA – Video

KLABU ya Yanga imesema leo Jumatatu, Agosti 24, 2020, inawasilisha rufaa yake kuhusu sakata la aliyekuwa mchezaji wao, Bernard Morrison, ...

READ MORE

Baba Auawa Baada ya Kubaka Maiti ya Mwanawe

AMA kweli duniani kuna mambo! Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 45, ameuawa kutokana na kipigo alichokipata kutoka...

READ MORE

Mr Kuku Azidi Kusota Kesi ya Uhujumu Uchumi

KESI  ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara maarufu, Tariq Machibya (29) maarufu Mr Kuku, imeahirishwa hadi Septemba 7, mwaka huu, katika...

READ MORE

LIVE: Kongamano la Maombi Maalum ya Uchaguzi 2020

Kongamano la maombi maalum ya dua na salama kwa ajili wa uchaguzi mkuu 2020 limefanyika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma....

READ MORE

Mwana FA Avunja Rekodi Mapokezi Muheza

MAPOKEZI ya mgombea ubunge Jimbo la Muheza (CCM), Hamisi Mwinjuma maarufu MwanaFA,  jana amevunja rekodi ya umati wa mapokzi katika...

READ MORE

Dada wa Trump Asema Kaka yake ‘Alifanyiwa Mtihani’

DADA wa Rais wa Marekani, Donald Trump,  ambaye pia ni jaji wa zamani nchini humo, Bi. Maryanne Trump Barry,  amesema...

READ MORE

Bayern Yaitwanga PSG, Yatwaa Kombe la UEFA

TIMU ya Bayern Munich ya Ujerumani imeiadhibu timu ya Paris St Germain ya Ufaransa katika fainali kali ya kombe la...

READ MORE

Wahamiaji Haramu 51 Wakamatwa Msata

JESHI la polisi mkoani Pwani, linawashikilia wahamiaji haramu (wanaume) kutoka nchini Ethiopia wapatao 51, kwa kosa la kuingia nchini bila...

READ MORE

‘Mnamkuza Mno Membe, JPM Kaweka Umeme Kwao’ – Video

KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi, Comrade Amir Mkalipa amesema chama hicho hakijatetereka na kuondoka kwa...

READ MORE