×

LIVE: Mwili wa Mzee Mkapa Wawasili Nyumbani Kwake Lupaso

Mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa umefika nyumbani kwake jioni ya leo Julai 28, 2020 katika Kijiji cha Lupaso mkoani...

READ MORE

Corona Kenya: Vifo, Wagonjwa Waongezeka

IDADI ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya inakaribia 300 kulingana na takwimu zilizotolewa na serikali Jumanne....

READ MORE

Waziri Mkuu Jela Miaka 12 kwa Ufisadi

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak, amekutwa na hatia katika mashtaka saba ya ufisadi yaliyokuwa yakimkabili na kuhukumiwa...

READ MORE

Tessy Jimbo Liko Wazi!

AONGEZE sauti? Sosholaiti matata Bongo ambaye ni baby mama wa staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka, Katyesia Abdul ‘Tessy Chcolate’...

READ MORE

Jux Kuvuta Jiko Soon

HAYAWI hayawi yanakwenda kuwa! Megastaa wa RnB Bongo, Juma Mussa ‘Jux’ amevunja ukimya kuwa muda umefika wa kuvuta jiko.  ...

READ MORE

Idris Sultan Asomewa Upya Mashtaka

MSANII wa Vichekesho, Idriss Sultan (27) na wenzake wawili wamesomewa upya mashitaka ya kuchapisha maudhui bila leseni ya Mamlaka ya...

READ MORE

Rais JPM Aongoza Viongozi Wakuu Kuaga Mwili wa Mkapa – Pichaz

Rais Magufuli ameongoza hafla ya kumuaga Hayati Benjamin William Mkapa, Rais wa awamu ya Tatu wa Tanzania. Katika hafla hiyo...

READ MORE

Mwalimu Aacha Kazi, Awa Hausigeli

MACRINE OTIENO, aliyekuwa mwalimu katika shule ya msingi binafsi ya Chrives Royal jijini Nairobi, sasa amelazimika kufanya kazi ya ujakazi...

READ MORE

Bilionea Laizer Apata Jiwe Jingine la Tanzanite

BILIONEA mpya wa madini aliyejizolea umaarufu nchini Tanzania, ambaye hivi karibuni aligeuka kuwa bilionea baada ya kupata mawe ya madini...

READ MORE

Saa 10 za DC Mtaka na Hayati Benjamin Mkapa

Ifuatayo ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akielezea mazungumzo yake na Rais wa Awamu ya Tatu,...

READ MORE

JPM Amwaga Machozi Akimwelezea Mkapa – Video

RAIS  John Magufuli, amejikuta akitokwa machozi hadharani baada ya kushindwa kujizuia wakati akielezea mazungumzo yake ya mwisho na rais mstaafu...

READ MORE

Rais Kenyatta: Kenya Tusijilinganishe na Wanayoficha Taarifa za COVID-19

Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus....

READ MORE

IMF Yaipa A. Kusini Dola Bil. 4.3 Kupambana na Corona

SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 4.3 kwa Afrika Kusini ili kuiwezesha nchi hiyo...

READ MORE

Usilalamikie Maisha Magumu, Changamkia Fursa Hii Itakayokutoa Kimaisha

Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli, imepaa na kuingia kwenye uchumi wa kati! Ni wakati wako...

READ MORE

Rais Magufuli Ayaanika Maajabu ya Mkapa – Video

  RAIS John Magufuli ameanika mambo makubwa aliyoyafanya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, hayati Benjamin William Mkapa wakati wa...

READ MORE

Kim: Silaha za Nyuklia Nitazuia Vita Nyingine

KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amesema hakutakuwa tena na vita kwa sababu silaha zake za nyuklia zitahakikisha ulinzi...

READ MORE

Mkapa Alichomwambia Magufuli Kabla ya Kifo – Video

  RAIS  John Magufuli amesema saa chache kabla ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin  Mkapa,  kuaga dunia, alizungumza...

READ MORE

Benki Ya CRDB Yatoa Bilioni 500 kwa Akinamama

  BENKI ya CRDB imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wajasiriamali wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia...

READ MORE

Multichoice Yaongeza ESPN Ndani Ya DStv

Miezi michache tu baada ya kurejea kwa michezo mbalimbali mubashara ndani ya DStv, Kampuni ya MultiChoice na The Walt Disney...

READ MORE