×

Benki ya NMB Yahamia Saba Saba

  Kwa mara nyingine tena, Benki ya NMB inashiriki maonesho ya Saba Saba ambayo mwaka huu yameanza rasmi tarehe 01/07/2020...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi Julai 3, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 3, 2020 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Irene Robert: Sijaolewa Bado Jamani!

Licha ya urembo alionao, Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili nchini, Irene Robert, amesema bado hajaolewa kama watu wengi wanavyomzushia ila...

READ MORE

Global Habari Julai 02 – Tamko La Serikali Baada Ya Kuingia Uchumi Wa Kati

Msemaji Mkuu wa serikali, Dkt Hassan Abbas, ametaja misingi na mikakati iliyochangia Nchi yetu kukua kiuchumi kwa mwaka 2020 ikiwa...

READ MORE

Tecno Camon 15, Simu Yenye Muonekano na Teknolojia ya Hali ya Juu

UBUNIFU zaidi wa teknolojia unaendelea kutenda haki duniani ambapo mawasiliano yanafanyika katika muda unaotakiwa na kikamilifu kuliko hapo mwanzo.  ...

READ MORE

Makamu Wa Rais Samia Aendelea Na Ziara Ya Kichama Zanzibar

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu...

READ MORE

Darasa – Nguvu Ya Mwanamke | Eric Shigongo & Rodric Nabe -Video

 “Hawa Wazungu wametudanganya muda mrefu sana kama sisi ni masikini, wametudanganya muda mrefu sisi ulimwengu wa tatu, tulikaa wapi...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Video: Msemaji Wa Serikali Afafanua Kilichofanya Tanzania Kuingia Uchumi Wa Kati

MSEMAJI Mkuu wa serikali, Dkt Hassan Abbas, leo Julai 02, 2020 amezungumza kuhusiana na Tanzania kuingia uchumi wa kati baada...

READ MORE

TCRA Yavipiga Faini Baadhi ya Vyombo vya Habari

MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) Julai 1, 2020 imevitoza faini ya takribani shilingi milioni 30 vituo vya televisheni sita na...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Systems Admin, Vodacom Tanzania

Systerms Admin : Corporate Applicaltions Posting Country:  Tanzania, United Republic of Date Posted:  25-Jun-2020 Full Time / Part Time:  Full...

READ MORE

PSSSF kutoa Huduma Za Kiofisi Maonesho 44 Ya Biashara Sabasaba

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesema katika msimu huu wa maonesho ya 44 ya biashara...

READ MORE

Gwajima Atangaza Kugombea Ubunge Kawe

ASKOFU Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo jana,  Julai 1,...

READ MORE

Rosa Ree: Natamani Kuitwa Mama

SEX Lady kunako anga la muziki wa Hip Hop, Rosary Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa kwa sasa naye anatamani kuitwa...

READ MORE

Simba vs Yanga Nusu Fainali FA – Video

SASA ni rasmi Simba na Yanga zitapambana kwa mara ya tatu msimu huu baada ya jana Simba kuifunga Azam FC...

READ MORE

Benki ya Dunia Yaitangaza Tanzania Kundi la Uchumi wa Kati

BENKI ya Dunia imeitangaza rasmi Tanzania kuingia kwenye orodha ya nchi zenye uchumi wa kipato cha kati. Tanzania inaingia kwenye...

READ MORE

Morrison Awakimbiza Makomando Yanga Usiku

MAMBO yanazidi kuwa mabaya kati ya uongozi wa Yanga dhidi ya kiungo wao mshambulizi Bernard Morisson baada ya wanachama wa...

READ MORE

Kotei Ashikilia Mkataba wa Tshishimbi Yanga

MABOSI wa Yanga kama wakifanikiwa kupata saini ya kiungo mkabaji wa Slavia Mozyr ya nchini Belarus, James Kotei basi timu...

READ MORE

Makonda: Bodaboda Ruksa Kuingia Popote Dar

Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amewaruhusu waendesha pikipiki (bodaboda) kuingia sehemu yoyote ya jiji la Dar...

READ MORE