×

Waziri Mkuu Amuwakilisha Rais Samia Maadhimisho ya Miaka 20 ya Itifaki ya SADC Dhidi ya Rushwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya...

READ MORE

Jamii Yakumbushwa Kutowatenga Wenye Kifafa, “Kifafa Sio Laana Wala Mkosi”

Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 — TAASISI ya Tanzania Epilepsy Organisation (TEO) imeitaka jamii kuwapa heshima, upendo, na haki...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Anthony Mligo Kutoka Namungo

Klabu ya Simba imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kushoto, Anthony Mligo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Namungo Fc...

READ MORE

Suka Jamvi Lako na Mchezaji Bora wa PFA Meridianbet

Je unajua kuwa unaweza kusuka jamvi la kumchagua mchezaji bora wa msimu mapema kabisa kabla ligi hazijaanza?. Ni rahisi sana...

READ MORE

Enock Koola Historia Imejirudia Jimbo la Vunjo!

Mfanyabiashara na mkandarasi kijana, Enock Zadock Koola, ashinda kwa kishindo kura za maoni Jimbo la Vunjo, kwa kupata kura 1999...

READ MORE

Mashindano ya Kwanza ya Dunia ya Soka la Roboti Kuandaliwa – Timu 30 Kuonesha Ubora wa AI

Timu 30 kutoka mataifa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na Ureno zinajiandaa kwa mashindano ya kwanza ya dunia ya roboti, ambapo...

READ MORE

Orodha ya Wabunge Walioshinda kura za maoni CCM, Kimei Aangushwa Vunjo – Video

 Matokeo haya ni ya kura za maoni ndani ya CCM (internal primaries), si uteuzi rasmi wa chama — uteuzi...

READ MORE

Shigongo Aongoza Kura za Maoni Buchosa, Tizeba Aambulia Kata Chache

Katika mchuano mkali wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Buchosa, wimbi jipya la siasa...

READ MORE

Kada Chipukizi Neto Kapalata Amshinda Kigwangalla Kura za Maoni Nzega Vijijini

Katika tukio la kisiasa lililoibua mjadala mkubwa, Kada wa CCM Jimbo la Nzega Vijijini, Ndugu Neto Kapalata, ameibuka mshindi katika...

READ MORE

Bulaya na Matiko Waangushwa Mara Wabunge Wanaotetea Nafasi Zawaacha Mbali

Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester...

READ MORE

Urusi Yamjibu Trump Kuhusu Suala la Nyuklia

Urusi yamjibu Trump kuhusu siala za nyuklia Urusi ilisema Jumatatu kwamba kila mtu anapaswa kuwa “muangalifu sana” kuhusu matamshi ya...

READ MORE

RS Berkane Yamnyatia Mkali wa Simba Steven Mukwala

MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya kikosi cha Simba SC, Steven Mukwala inaelezwa kuwa huenda akauzwa na kutokuwa sehemu...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Agosti 5, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Dogo Janja Aongoza Kura za Maoni CCM Ngarenaro – Awashinda Wakongwe

Msanii wa Bongofleva, Dogo Janja, aibuka kidedea kwenye kura za maoni CCM Kata ya Ngarenaro, akimshinda aliyekuwa diwani Isaya Doita...

READ MORE

Makonda Aibuka Mshindi wa Kura za Maoni CCM Jimbo la Arusha Mjini

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Festo Sanga Aibuka Kidedea Kura za Maoni Ubunge Jimbo la Makete

Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Makete, Festo Richard Sanga, ameongoza katika kura za maoni ndani ya Chama Cha...

READ MORE

Vodacom Yatambua Vipaji Vya Golf Kupitia Corporate Masters

Mkuu wa Idara ya Masoko na Ushirikiano kutoka Vodacom Tanzania Joseph Sayi  wa pili kushoto akimkabidhi tuzo moja ya washindi...

READ MORE

Mahakama Yatoa Ulinzi Maalum kwa Mashahidi Kesi ya Lissu

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Serikali la kuwalinda mashahidi wake ambao ni raia wa kawaida...

READ MORE

Chongolo Aendelea Kutakata – Aongoza Kata 10 Kati ya 12!

Mpaka sasa, Daniel Chongolo anaonekana kuongoza kwa kishindo kikubwa katika kata 10 kati ya 12 zilizohesabiwa, akimpita mbali Deo Sanga...

READ MORE

Naibu Waziri Apata Msukosuko, Gari Yake Yachomwa

Hali ya kisiasa si shwari Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya kutokea vurugu na mashambulizi kabla ya kufanyika kuwa...

READ MORE