×

Kiba Afunguka Cheed na Killy Kutimka

IKIWA ni siku moja tangu wasanii wake wawili killy na Cheed waondoke kwenye lebo yake ya Kings Music Records, msanii...

READ MORE

Vifo vya Watu 3, Simbachawene Amtia Mhandisi Ndani – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumtia ndani Mhandisi wa Kampuni...

READ MORE

IGP: Ukimamatwa Hujavaa Barakoa, Jela Miezi 6

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Hilary Mutyambai amewaagiza polisi kumkamata mtu yoyote atakayeonekana mitaani bila kuwa na...

READ MORE

Basi la Kamwana’s Lateketea kwa Moto – Video

AJALI mbaya imetokea mapema leo Jumatano, Aprili 15, 2020, baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Kamwana’s Express...

READ MORE

Tanzia: Mwandishi Nguli Ken Walibora Afariki Dunia

Mwandishi wa habari na mtunzi wa vitabu maarufu nchini Kenya, Profesa Ken Walibora amefariki dunia. Prof Walibora aligongwa na gari...

READ MORE

M-Bet kuzindua Stimulated Reality League (SRL)

M-Bet imezindua michezo ya kubashiri inayojulikana kama Simulated Reality League (SRL) , Kupitia kampuni ya SportRadar inayotoa huduma za teknolojia ya odds...

READ MORE

Mbelgiji Yamkuta Tena Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji Luc Eymael, kwa mara nyingine tena amelazimika kufuta safari yake ya kurejea nchini Tanzania kutokana...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Shinda Gari Yaendelea Kuwa Gumzo Mtaani

BAHATI nasibu inayoendelea kupitia  magazeti ya Championi na Spoti Xtra imeendelea kuwa kivutio kikubwa baada ya wasomaji wa maeneo ya...

READ MORE

Manula: Hakuna Kama Okwi Simba

KIPA wa Simba, Aishi Manula amesema kuwa mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Emmanuel Okwi ni mchezaji bora kuwahi kutokea...

READ MORE

Breaking: Ishu Ya Chama Yatinga TFF, Kuamuliwa na Kamati Ya Sheria

UONGOZI wa klabu ya Simba umepeleka barua kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuishitaki Yanga kwa kuvunja kanuni za usajili....

READ MORE

Corona: Wagonjwa 6 Waongezeka Zanzibar, Mmoja Afariki

WIZARA  ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya sita wa virusi vya Corona na kufikisha idadi ya wagonjwa 18 kutoka 12...

READ MORE

Mama: Polisi Wameuwa Mwanangu!

WAKATI familia mbalimbali za Kikristo duniani zikisherehekea sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo, familia ya Subira Rashid (43), mkazi wa...

READ MORE

Ishu ya Chama na Yanga… Simba Yakimbilia Kushtaki TFF

UONGOZI wa klabu ya Simba umefunguka kuwa unatarajia kupeleka barua kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuishitaki Yanga kwa kuvunja...

READ MORE

Baada ya Pasaka Betika Mwendo Mdundo Kuwafikia Wadau

MAPEMA leo Jumatano, Aprili 15, 2020, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Temeke mwembeyanga na maeneo...

READ MORE

Matapeli Wamliza Luis Miquissone Simba

KATIKA hali ya kushangaza kiungo mshambuliaji wa Simba, Luís Miquissone raia wa  Msumbuji  amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia baadhi ya...

READ MORE

Rais JPM Awalilia 18 Waliofariki kwa Ajali Kibiti

RAIS John Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu takribani 18 waliopoteza maisha katika ajali...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua 18 Kibiti Mkuranga

WATU 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahwewa Wilaya ya Mkuranga mkoani...

READ MORE

Rais Museveni Aongeza Siku Zingine 21 Karantini

RAIS Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza siku nyingine 21 kuanzia kesho April 15 hadi April May 05,2020 za Watu kuendelea...

READ MORE

Yanga SC, Simba SC Zakutana Kwa Nonga

PAUL Nonga mtupiaji wa Lipuli ameziweka vitani timu tatu kubwa ambazo zinahitaji saini yake kwa sasa ikiwa ni pamoja na...

READ MORE

Mondi, Amina wa Kiba Gumzo Mjini

MJI mzito huu! Baada ya mapichapicha ya staa wa Bongo Fleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’ na mwanamitindo Hamisa Mobeto...

READ MORE