×

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Amani ya Moyo Ni Tunu, Itunzeni Kwa Gharama Yoyote!

MUNGU ni mwema sana! Tunakutana Jumatatu nyingine kwenye uwanja wetu huu maridhawa, kupeana elimu ya uhusiano. Ni vyema na haki...

READ MORE

JPM: Dawa Zilizopulizwa Dar ni Upuuzi, Hakuna Lockdown DSM – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amezungumza na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na...

READ MORE

Trump Aagiza Jeshi la Marekani Kuzilipua Boti za Iran

RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameliagiza Jeshi la Maji la nchi hiyo (Navy) kuzishambulia na kuziharibu kabisa boti za kivita...

READ MORE

Wasomaji Jet Lumo na Machimbo Walikubali Betika

  Ikiwa ni Jumatano ya Aprili 22, 2020, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imeendelea na kulisambaza gazeti la...

READ MORE

Ewura Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kushuka Bei za Mafuta

KATIKA siku za hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta ghafi nchini...

READ MORE

A-Z Arusha Watoa Mashuka 100 Kwa Serikali

Kiwanda cha A-Z kilichopo mkoani Arusha leo Aprili 22, 2020 kimekabidhi jozi ya mashuka mia moja kwa Serikali mkoani Arusha...

READ MORE

Sukari Ipo ya Kutosha, Atakayepandisha Bei Ashughulikiwe – Video

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema hakuna haja ya kupandisha bei ya sukari kutokana na...

READ MORE

Corona Inavyomwingizia Pesa Bilionea wa Amazon

MWANZILISHI na mmiliki wa Kampuni ya Amazon ameshuhudia utajiri wake ukichupa kwa kiasi cha dola bilioni 24 (sawa na pauni...

READ MORE

Wagonjwa Wapya 30 Wathibitishwa Tanzania, Jumla Wafikia 284

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema, hadi Aprili 21, 2020 jumla ya wagonjwa 284 wamethibitika kuwa na #COVID19; Wagonjwa 256 wanaendelea...

READ MORE

Manara Amsifu Fei Toto Wa Yanga

MSEMAJI wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ni mchezaji bora Mtanzania...

READ MORE

Rais JPM Afanya Uteuzi Mpya Akiwa Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa...

READ MORE

LIVE: Maombi ya Kitaifa Dhidi ya Janga la Corona

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Aprili 22, 2020, anaongoza Taifa zima katika maombi maalum...

READ MORE

Maisha ya Mama Rwakatare, Kuzaliwa Mpaka Kifo – Video

Hii ni makala fupi inayomuelezea Mwanamke Shujaa ambaye alfajiri ya juzi aliaga dunia, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare, aliyekuwa Askofu wa...

READ MORE

Corona Kenya: Watu 50 Watoroka Karantini – Video

JESHI la Polisi nchini Kenya linawasaka watu 50 waliotoroka katika kituo cha Kenya Medical Training College, mjini Nairobi kilichokuwa kinatumika...

READ MORE

Coulibaly: Sasa Nataka Kuja Kucheza Yanga

BEKI wa zamani Simba, Zana Coulibaly raia wa Ivory Coast amefichua kuwa yupo tayari kurejea nchini iwapo itatokea Azam na...

READ MORE

Wagonjwa Wapya 15 wa Corona Wathibitishwa Kenya, Wafikia 296

Wizara ya Afya nchini Kenya imetangaza ongezeko la wagonjwa 15 wapya waliothibitishwa kuwa na virusi vya corona na kufikisha 296...

READ MORE

Licha ya Kutafuna Mil. 850, Gari la Mondi Lakwama Kuja Bongo

KWA wafuatiliaji wa mitandano ya burudani Bongo, mkoko mpya wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aina ya Rolls Royce unaotajwa...

READ MORE