×

Miaka 39 Madarakani: Museveni Aidhinishwa Kugombea Tena

Chama tawala nchini Uganda, National Resistance Movement (NRM), kimemuidhinisha rasmi Rais wa sasa wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kuwa mgombea...

READ MORE

Kitima: Nilichofanyiwa na Vyombo vya Dola Sipendi Mwingine Afanyiwe

“Vyombo vya dola vimekuja kunihoji, nimewaeleza niliyodhani kwa wakati ule waliyahitaji. Wenyewe wanajua, wanalijua hili tukio vizuri… mbele ya Mungu...

READ MORE

Muna Love Atoa Ujumbe Mzito Kuhusu Amani ya Moyo!

Msanii maarufu wa filamu nchini Tanzania, Rose Alphonce Nungu almaarufu kama Muna Love, ametoa ujumbe mzito wa hamasa unaogusa maisha...

READ MORE

JKT Yahimiza Watanzania Kununua Bidhaa Za Ndani Kwa Maendeleo Ya Taifa

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajab Mabele, ametoa wito kwa Watanzania wote kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa...

READ MORE

Mwigulu Amvunja Mbavu Waziri Mkuu Majaliwa “Tunakuombea” – Video

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kumuombea heri Waziri Mkuu...

READ MORE

Stanbic Bank Yawazawadia Washindi 28 Katika Droo ya Pili ya Kampeni ya Salary Switch

Dar es Salaam, 3 Julai 2025 – Stanbic Bank Tanzania leo imewazawadia wateja 28 waliobahatika zawadi mbalimbali za fedha taslimu...

READ MORE

Trump Apendekezwa Kwa Tuzo ya Nobel na Netanyahu

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkabidhi Rais wa Marekani Donald Trump barua rasmi ya pendekezo lake la uteuzi kwa...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Apongeza TRA kwa Kuvuka Malengo ya Makusanyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewapongeza Watumishi na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

READ MORE

Matokeo ya Kidato cha Sita na Ualimu 2025, Yapo Hapa

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) pamoja na Mitihani ya...

READ MORE

Rais Samia Apokea Tuzo ya Heshima ya ‘Power of 100 Women’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Julai 8, 2025 amepokea Tuzo Maalum ya Heshima...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Afungua Kikao Kazi Cha TRA, Ahimiza Tathmini Na Uboreshaji Wa Utendaji

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo amefungua rasmi kikao kazi cha viongozi na watendaji wa...

READ MORE

INEC Yatangaza Nafasi za Kazi za Muda Kwa Uchaguzi Mkuu 2025, Zipo Hapa

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza nafasi za ajira za muda kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Fluminense vs Chelsea: Mechi ya Moto, Bonasi ya Moto Zaidi Meridianbet

Je unajua kuwa Jumanne ya leo unaweza ukajipatia bonasi ya kibabe ndani ya Meridianbet kwenye mtanange huu wa Nusu Fainali...

READ MORE

Stering Waja na Bidhaa ya Blix Teknolojia Mpya ya Usafi wa Vyombo Majumbani

  Kampuni ya Stering katika Maonesho ya Kibiashara ya Kimataifa ya 49 mwaka huu yanayoendelea Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu...

READ MORE

Waziri Ajiua Kwa Risasi Kisa Kufutwa Kazi Na Putin

Vladimirovich Starovoit, aliyekuwa Waziri wa Usafirishaji wa Urusi kati ya mwaka 2024 na 2025, amekutwa amefariki dunia kwa kile kinachoelezwa...

READ MORE

Mbosso Abaki Mdomo Wazi Kisa Bonge la Dada!

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mbosso Khan, amefunguka na kueleza kuwa haingilii kabisa kazi za mwanadada Queen maarufu...

READ MORE

Meridianbet Yakuletea Lucky Rush Tournament, Zawadi za TZS 1.5 Bilioni Zinakungoja

Meridianbet imekuletea msimu mpya uliojaa ushindi kupitia Playtech Lucky Rush Tournament, promosheni kubwa ya mashindano ya sloti. Promosheni hii imeanza...

READ MORE

Rais Mwinyi: Mazingira Ya Biashara Na Uwekezaji Kuendelea Kuimarishwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kuwa dhamira ya Serikali ya...

READ MORE

Job na Yanga Mambo ni Moto! Hatima Yake Kusubiriwa

INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga SC wamefanya mazungumzo na beki wa Yanga SC, Dickson Job kuhusu kuongeza kandarasi mpya kuendelea...

READ MORE

Israel Yarusha Ndege 20 Kuvamia Ngome za Yemen

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limefanya mashambulizi makubwa ya anga dhidi ya ngome za waasi wa Houthi nchini Yemen...

READ MORE