×

Milio ya bunduki, mabomu yasikika Nairobi

Wakazi wa jiji la Nairobi nchini Kenya leo Julai 7 , 2025 wamekuwa wakisikiliza milio ya bunduki na mabomu ya...

READ MORE

Watatu Wahofiwa Kufariki Ajali Ya Lori

Takribani watu watatu wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali mbaya iliyotokea leo, Julai 7, 2025, katika eneo la Mtoni Msikitini, Temeke,...

READ MORE

Mazungumzo Ya Kusitisha Vita Gaza Yagonga Mwamba

  Duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya kusitisha mapigano kati ya Wapalestina na utawala wa...

READ MORE

Naibu Waziri Mahundi Aipongeza TTCL kwa Huduma Bora za Mawasiliano

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Maryprisca Mahundi (Mb), ametembelea banda la Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)...

READ MORE

Bebe Cool Ampa Maua Yake Diamond Platinumz

Staa wa muziki wa kizazi kipya kutoka Uganda, Bebe Cool, ametamka wazi kuwa Diamond Platnumz ndiye msanii namba moja bora...

READ MORE

Babalevo Amvaa Zitto Kabwe: “Kauli Yako Inadhalilisha Vipaji vya Wasanii” – Video

Msanii na mtangazaji maarufu, Babalevo, amejibu kauli iliyotolewa hivi karibuni na mwanasiasa mashuhuri Zitto Kabwe, ambaye alidai kuwa wachekeshaji hawapaswi...

READ MORE

Mbowe Aibukia Kanisani Kwa Mchungaji Kimaro

Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) —...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Kyerwa, Mwisho wa kutuma Julai 13

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa amepokea kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29/4/2025 kutoka...

READ MORE

Tantrade Yaadhimisha Programu ya Urithi Wetu kwa Kuwakutanisha Wanafunzi

Dar es Salaam 6 Julai 2025: Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imeadhimisha programu ya Urithi wetu kwa kuwakutanisha...

READ MORE

Mtoto wa Mzee Samatta Azungumzia Chanzo cha Kifo cha Baba Yao – Video

Rajab Ally Samatta, mtoto wa kwanza wa marehemu Mzee Ally Samatta, ambaye ni baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa...

READ MORE

Wizara ya Maliasili Yageuza SABASABA Kuwa Kivutio Cha Kudumu cha Utalii

Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea na mpango wa kulifanya eneo linalotumika sasa katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei Aonekana Hadharani Kwa Mara ya Kwanza Tangu Mzozo na Israel

Tehran, Iran – Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mzozo...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe Ya Miaka 50 Ya Uhuru Wa Umoja Wa Visiwa Vya Comoro – Picha + Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Madhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya...

READ MORE

Furahia Promosheni ya Wild White Whale Ukiwa na Meridianbet

Meridianbet inakuletea promosheni kabambe kwa mwezi huu wa Julai kupitia mchezo wa kasino wa Wild White Whale. Hii ni nafasi...

READ MORE

Baba Mzazi wa Mbwana Samatta Afariki Dunia – Video

Baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, Mzee Ally Samatta, amefariki dunia asubuhi ya leo, Julai...

READ MORE

GF Trucks & Equipment Yaibuka Mshindi wa Jumla Maonesho ya Sabasaba 2025

Kampuni ya Gf Trucks & Equipment Ltd imeibuka mshindi wa jumla wa maonyesho ya biashara ya kimataifa  2025 yanayoendelea jijini...

READ MORE

Wasomi UDSM Waja na Drone Kubwa Yenye Uwezo wa Kufanya Mambo Mbalimbali

Dar es Salaam 6 Julai 2025: Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM katika Maendeleo ya Sayansi na...

READ MORE

RC Siro Asisitiza Umuhimu wa Ushirikiano Kati ya Serikali na Dini

KIGOMA – Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Inspekta Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Mhe. Balozi Simon Siro, amefanya ziara...

READ MORE

Makamu wa Rais Aungana na Wakatoliki Kuuadhimisha Jubilei ya Parokia Dodoma

Dodoma – Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, ameungana na maelfu ya waumini...

READ MORE

Mzumbe University Yatangaza Nafasi 46 Za Ajira Kwa Wahadhiri

Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetangaza nafasi 46 za ajira katika nafasi za kitaaluma (academic positions), kikialika Watanzania waliobobea na wenye...

READ MORE