×

Vigogo 8 Watinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu Nchini Marekani

Michuano ya kihistoria ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA inayoendelea nchini Marekani imeingia katika hatua ya robo fainali...

READ MORE

IGP Wambura Awavisha Cheo Maafisa Watatu Waliopandishwa Cheo Na Rais Dkt. Samia

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amewavisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) maafisa watatu...

READ MORE

RC Kihongosi Arudi Arusha, Aahidi Ushirikiano na Viongozi wa CCM

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi amefika kwenye ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha na kupokelewa...

READ MORE

TRA Yavunja Rekodi Kwa Kuvuka Malengo Ya Makusanyo Kwa Miezi 12 Mfululizo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeandika historia kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake kwa kuvuka malengo ya makusanyo kwa...

READ MORE

Twende Butiama 2025 Yaanza Rasmi Kutoka Dar Es Salaam

Dar es Salaam, Julai 2, 2025 Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 2, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Oryx Gas na REA Wazindua Mradi wa Magerezani Kutumia Nishati Safi ya Gesi

Simiyu 1 Julai 2025: Kampuni ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Safi Tanzania (REA) wamezindua rasmi mradi...

READ MORE

Jamii Yaaswa Kujenga Utamaduni wa Kusaidia Watu Wenye Uhitaji

Jamii imeaswa kujenga utamaduni wa kua na moyo wa kujitolea kusaidia watu wenye uhitaji haswa Watoto wenye changamoto ya vichwa...

READ MORE

Liberia Kumzika Upya Rais wa Zamani William Tolbert Miaka 45 Baada ya Kuuawa

Rais wa zamani wa Liberia, William Tolbert, anatarajiwa kuzikwa upya Jumanne hii, ikiwa ni miaka 45 tangu auwawa katika mapinduzi...

READ MORE

Nyambaya arudisha fomu kuwania Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Lamecky...

READ MORE

NMB Yajidhatiti Kusaidia Wakulima, Wafugaji na Wavuvi Kupitia Maonesho ya Nane Nane

Mkuu wa Kitengo cha Biashara Serikalini kutoka Benki ya NMB, makao makuu, Vicky Bishubo, amesema wamepanga kutumia maonesho ya wakulima...

READ MORE

Real Madrid vs Juventus Kukupatia Mshiko Mara 2 Leo

Michuano ya Kombe la Dunia ngazi ya vilabu inaendelea ambapo timu mbalimbali zinawania kucheza hatua ya Robo Fainali. Wakali wa...

READ MORE

Rais Samia Amteua Gilead Teri Kuongoza Mamlaka Mpya ya Uwekezaji (TISEZA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji...

READ MORE

Kesi Ya Tundu Lissu Yaahirishwa Hadi Julai 15, 2025 – Video

Kesi namba 8607/2025 ya uhaini inayomhusu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Antiphas Lissu limeahirishwa mpaka Julai...

READ MORE

Una Halopesa? Meridianbet Inakupa Bonus Ya 20% Kila Siku

Meridianbet imedhamiria kukupa zaidi ya ulivyotarajia. Kama unatumia Halopesa, basi kuna sababu mpya ya kuanza siku yako kwa tabasamu kwa...

READ MORE

Yanga Yatikisa jiji la Dar Kwa Kishindo na Mataji Matano Msimu Mmoja (Picha +Video)

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara 31, Yanga SC Juni 30 2025 wamepokelewa kwa kishindo wakitokea Zanzibar kwa kufanya...

READ MORE

Mahakama Yamsimamisha Kazi Waziri Mkuu Thailand

Mahakama ya Katiba ya Thailand imemsimamisha kazi Waziri Mkuu, Paetongtarn Shinawatra, kufuatia sakata la kisiasa lililosababishwa na uvujishaji wa mazungumzo...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Wakili Oscar Mutaitina Ajitosa Kuwania Ubunge Jimbo la Bagamoyo

Wakili maarufu, Oscar Oswald Mutaitina, amejiunga rasmi katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Bagamoyo, baada ya...

READ MORE

Diana Sichwale Achukua Fomu Ubunge Tunduma

Daina Elias Sichalwe amechukua fomu ya kuwania UBUNGE kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Tunduma. Zoezi...

READ MORE