×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 17, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Diva Aaga Rasmi Wasafi Baada ya Miaka Nne ya Kipekee

Dar es Salaam, Julai 16, 2025 – Mtangazaji mahiri na maarufu nchini, Diva Gissele Malinzi, anayefahamika pia kama Diva The...

READ MORE

Wapinzani 15 wa Museveni Wakamatwa kwa Madai ya Kuchana Mabango Yake

Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais...

READ MORE

Askofu Gwajima Ataka Mfumo wa Uchaguzi Kubadilishwa

Askofu Gwajima Ataka Mfumo wa Uchaguzi Kubadilishwa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri...

READ MORE

Zimbwe Jr Atoa Ishara Za Kuondoka Simba, Yanga Waingia Mitaani!

NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen Zimbwe Jr kuna hatihati huenda akaondoka ndani ya kikosi hicho baada ya kanadarasi yake...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Falme za Kiarabu (UAE) Alivyofanya Ziara Nchini Tanzania

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa nchi za Falme za Kiarabu, Luteni Jenerali Eisa Saif Mohamed Bin Ablan Almazrouei amefanya...

READ MORE

Neema Yawafikia Bodaboda wa Mbezi Beach Africana

Kampuni ya ubashiri Meridianbet kama kawaida ni bandika bandua huku Jumatano ya leo wameamua kuwafikia bodaboda wa kule Mbezi Beach...

READ MORE

Trump Athibitisha Makombora Ya Patriot Yamekwisha Tumwa Ukraine

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa makombora ya kisasa ya kujihami ya Patriot tayari yamepelekwa nchini Ukraine...

READ MORE

Madhara ya Wapenzi Kugombana na Kununiana Mara kwa Mara

MWISHONI mwa wiki iliyopita, nilipata bahati ya kukutana na mmoja kati ya wasomaji wangu wa siku nyingi ambaye amekuwa akiufuatilia...

READ MORE

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Songea, Mwisho wa maombi Julai 24

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea amepokea kibali cha Ajira Mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 16, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

NBC Yazitambulisha jezi za NBC Dodoma Marathon kwa Wadau, Sanlam Wapongeza Ubora

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya NBC Bw Rayson Foya (wa tatu kushoto) akikabidhi moja ya jezi maalum kwa ajili...

READ MORE

Vyuo Vikuu vya Kimataifa vyaja Dar na Ahadi ya Ufadhili

WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link inatarajia kuwakutanisha wanafunzi wa Tanzania na vyuo vikuu zaidi ya 20...

READ MORE

Trump Atoa Onyo Kali Kwa Putin: Asema Amezidiwa na Vita ya Ukraine

Rais wa Marekani, Donald Trump, jana alitoa kauli kali dhidi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, akimtaja kama “mtu mkali...

READ MORE

Mrisho Mpoto Afiwa Na Mkewe

Mrisho Mpoto, msanii wa sanaa za maonesho na kughani, kupitia akaunti yake ya Instagram ametoa taarifa za kufiwa na mkewe...

READ MORE

Makada CCM Wamuunga Mkono Comrade Mgeja Kumvalia Njuga Polepole

MAKADA wa Chama cha Mapinduzi kutoka pande mbalimbali nchini wamemuunga mkono kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa...

READ MORE

Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Yaahirishwa Hadi Julai 30, 2025 – Video

Dar es Salaam, Julai 15, 2025 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA,...

READ MORE

Comrade Mgeja Alivyoshtushwa na Polepole Kujiuzulu, Akiwa India Kimatibabu

BAADA ya taarifa za Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole kujiuzulu nafasi ya Ubalozi nchini Cuba zimeshtua wengi...

READ MORE

Lissu: Sitaki Huruma ya Mahakama, Nataka Haki ya Kikatiba – Video

Dar es Salaam, Julai 15, 2025 – Kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na wakili maarufu nchini, Tundu Antiphas Lissu, inatarajiwa...

READ MORE

Funga Safari Ya Ushindi: Qualifiers Za Meridianbet Festival Malta 2025

Ni muda wa kujiwekea historia ya mchezo kwa wacheza kasino mtandaoni na Meridianbet kwa kulitambua hilo inawapa wachezaji wake fursa...

READ MORE