×

Rais Mstaafu Wa Zambia, Edgar Lungu Afariki Dunia

Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amefariki dunia siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 68, akiwa anapatiwa...

READ MORE

Nani Ataungana na Ureno Fainali? Hispania na Ufaransa Kupimana Ubabe Leo!

Baada ya ushindi wa 2-1 wa Ureno dhidi ya Ujerumani katika nusu fainali ya kwanza ya UEFA Nations League, leo...

READ MORE

Mama Ajifungua Watoto 3, Baba Amwaga Machozi Aomba Msaada – Video

Familia ya kijana Mbwanyi Mzeendege, ilipata baraka ya aina yake baada ya mkewe kujifungua watoto pacha watatu! Hata hivyo, baraka...

READ MORE

Beki Aliyeachwa Yanga Apata Bonge la dili, Atimka Zake

ALIYEKUWA beki wa kati wa Yanga, Gift Fred anakaribia kujiunga na Klabu ya KCCA ya nchini Uganda katika msimu ujao....

READ MORE

Sheikh Ponda Ajiunga na ACT Wazalendo – (Picha +Video)

Dar es Salaam, Juni 5, 2025 — Chama cha ACT Wazalendo leo Alhamisi Juni 5, 2025 kimempokea rasmi Katibu wa...

READ MORE

Gari la Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Wapata Ajali – Video

Gari la muziki lililokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema), John Heche limepata ajali...

READ MORE

Furahia Ofa Kabambe ya Zombie Apocalypse kutoka Meridianbet

Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studio, wameleta ofa kabambe kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni kupitia mchezo wa Zombie...

READ MORE

Saleh Jembe Awabebesha Zigo La Lawama Yanga Ishu Ya Derby – ”Wao Ndiyo Wamesababisha” – Video

Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Jembe amefunguka na kueleza kuwa waliosababisha hili jambo ni klabu ya Yanga SC isingekuwa wao...

READ MORE

NMB Yatangaza Gawio la Kihistoria na Matokeo Makubwa ya Fedha kwa Mwaka 2024

Gawio hili la kihistoria linaendana na dhamira ya Benki ya NMB ya ukuaji madhubuti wenye matokeo endelevu kwa wanahisa wake....

READ MORE

Farid Mussa Kwenye Rada za Mbeya City, Wapiga hodi Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga SC, Farid Mussa anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Mbeya City. Mbeya City yenye maskani...

READ MORE

Zuchu Apamba Insta Yake na Jina la Diamond, Ajiita ‘Mrs. Nasibu’ Hadharani

Malkia mpya wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Zuhura Othman Soud, maarufu kama Zuchu, ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada...

READ MORE

Mwanzilishi wa CHAUMMA Eugene Kabendera Ajiunga na CHADEMA

ALIYEKUWA mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Eugene Kabendera Jumatano, Juni 4, 2025 ametangaza kujiunga na...

READ MORE

Fainali ya Yanga, Singida Black Stars Kupigwa New Amaan

FAINALI ya Kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Sifa 5 Za Mwanamke Ambaye Ni ‘Wife Material’

WIKI hii nitazungumzia sifa tano za mwanamke ambaye anastahili kuwa mke au kwa kizungu tunasema ‘wife material’. Nafanya hivi ikiwa...

READ MORE

Puma Energy Yaanzisha Nishati Safi ya Mradi wa Umeme wa Jua kwa Kiwanda cha Alliance One Tanzania Tobacco Limited

Morogoro, Tanzania: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imetangaza uzinduzi rasmi wa kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kilowati...

READ MORE

Waziri Mkuu Aweka Jiwe La Msingi Jengo La ‘Viwango House’

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 4 2025 ameweka jiwe la Msingi la ujenzi wa jengo la Shirika la Viwango...

READ MORE

Makalla: The Royal Tour Imekuza Utalii Kaskazini

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi an Mafunzo wa chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Samia...

READ MORE

Wasira Ateta Na Jaji Warioba, Mzee Butiku jijini Dar

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa...

READ MORE

Kocha Yanga Aiweka Kando Kariakoo Dabi Ligi Kuu Bara

KOCHA Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amesema kuwa haufahamu mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao wa Kariakoo Dabi badala yake...

READ MORE

Chadema Kumfikisha Mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa – Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hawakubaliani na maamuzi ya Msajili wa vyama wa...

READ MORE