×

Wajumbe Wapya Wanne Wachaguliwa Kujiunga na Kamati Kuu ya CCM Taifa

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), katika kikao chake maalum kilichofanyika Jumatano tarehe 28 Mei 2025, jijini Dodoma, imefanya uchaguzi...

READ MORE

Mbatia Ashinda Kesi Dhidi ya NCCR Mageuzi, Uongozi Wake Watambuliwa Tena na Mahakama

Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa...

READ MORE

Jinsi Wa Kupata Mkopo Wa Benki Haraka Bila Mdhamini

Kupata mkopo kutoka benki bila kuwa na mdhamini ni changamoto inayowakumba watu wengi, hasa wale walio kwenye sekta isiyo rasmi...

READ MORE

Mbunge Shigongo Apongezwa kwa Ubunifu wa Madarasa Janja Kupitia TEHAMA

Serikali kupitia kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba imempongeza Mbunge...

READ MORE

Uturuki Waanza Mchakato Wa Kuandika Katiba Mpya, Wataalamu Wa Sheria Kuanza Mchakato

Uturuki Waanza Mchakato wa Kuandika Katiba Mpya Rais Tayyip Erdogan wa Uturuki ameteua timu ya wataalamu wa sheria kuanza mchakato...

READ MORE

Rais Ruto Aomba Radhi Kwa Tanzania Kwa Kinachoendelea – Video

  Rais wa Kenya, William Ruto amewaomba radhi Watanzania na kueleza kwamba kama kuna jambo Wakenya wamekosewa, wasamehewe. Pia amewaomba...

READ MORE

Yanga Yalaani Vurugu Dhidi Ya Mashabiki Wake Katika Fainali Ya Kombe La Shirikisho

Uongozi wa Yanga umesikitishwa na unalaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa mashabiki wake katika mchezo...

READ MORE

Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya kutoa huduma ya Kliniki ya Biashara kwa wafanyabiashara wa Kariakoo.

Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya kutoa huduma ya Kliniki ya Biashara kwa wafanyabiashara wa Kariakoo. Kliniki...

READ MORE

Rais Samia Aweka Jiwe La Msingi Makao Makuu Ya Chama Cha Mapinduzi – (Picha +Video)

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe...

READ MORE

Korea Kusini; nchi iliyokuwa ikihesabu umri wa mtoto tangu akiwa tumboni

Nchi ambayo mtoto anapozaliwa alikuwa anahesabiwa kuwa na mwaka mmoja ni Korea Kusini (na zamani Korea Kaskazini pia ilifuata utaratibu...

READ MORE

NMB Waziwezesha Shule 15 Arusha Vitanda na Madawati

Benki ya NMB imenunua na kugawa vitanda, madawati, viti na meza vyenye thamani ya Shilingi milioni 125.2 katika shule 15...

READ MORE

Beti Mechi ya Fainali Real Betis vs Chelsea na Meridinbet Leo

Moto kuwaka vikali leo kwenye fainali ya nguvu kabisa ambayo itawakutanisha Real Betis dhidi ya Chelsea. Kila timu inataka ushindi...

READ MORE

Majaliwa Akutana Na Viongozi Wizara Ya Ardhi Ya Japan Pamoja Na Shirikisho La Wawekezaji (Jaida)

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Mei 27, 2025, alikutana na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan, Mheshimiwa Hiromasa...

READ MORE

Jay Melody – Jirani (Official Visualizer)

Jay Melody; ni staa mkubwa kwa sasa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania leo ameachia ‘Visualizer’ ya wimbo wake...

READ MORE

Njia Wanayotumia Wengi Kufaulu Mitihani Yao Hadi Ya Chuo

Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi sikuwa mwanafunzi mwenye akili darasani, kila mara nilikuwa mtu wa mwisho kiasi kwamba hadi...

READ MORE

Fahamu Jinsi ya Kupata Mtoto wa Kiume, Kike

BAADA ya kuandika makala yangu kuhusu madhara anayoweza kupata mtu kwa kutofanya tendo la ndoa, nimepokea maswali mengi huku wengi ...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Biteko na Wadau Wajadili Fursa za Ushirikiano Sekta ya Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Doto Biteko, akiwa kwenye picha ya pamoja na (kutoka kushoto) Bi. Fatma...

READ MORE

Simba Kamili Kuivaa Singida Black Stars, KMC Complex Mwenge

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya Singida Black...

READ MORE

PUMA Energy Tanzania Kupitia Upya Mpango Mkakati Wa Biashara

Dar es Salaam, Mei 26, 2025 — Wawekezaji wa PUMA Energy Tanzania, ambao ni Serikali ya Tanzania na Puma Investments...

READ MORE

Serikali Kuendelea na Utoaji Mafunzo ya Mtaala Ulioboreshwa

Serikali itaendelea la kutoa mafunzo ya Mtaala uliboreshwa kwa walimu wote nchini ili kuhakikisha wanakuwa bora katika eneo la ufundishaji...

READ MORE