×

Yanga Yailowesha Tabora United Mabao 3 – 0

Dakika 90 zimemalizika katika Dimba la Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ambapo Yanga wameilowesha Tabora United kwa jumla ya mabao...

READ MORE

Makamu wa Rais Azindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Kibaha mkoani Pwani – Picha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Wizara ya Afya Yatoa ufafanuzi Madai ya Neema Kilugala Kubadilishiwa Mtoto – Video

Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Neema Kilugala ambaye anadai kubadilishiwa mtoto na kupewa aliyefariki dunia baada ya...

READ MORE

Askofu Bagonza: Haki Ni Msingi Wa Amani, Kinachokoseka Ni Mshikamano Wa Kitaifa

Ask. Bagonza: Haki ni msingi wa amani Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt....

READ MORE

Ryabkov Akerwa Matamshi Ya Trump Kuhusu Iran, Asema Ni Njia Isiyofaa Ya Kidiplomasia

  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Ryabkov, amekosoa vikali matamshi ya Donald Trump kuhusu Iran, akiyaita...

READ MORE

Cheza Kasino Ufukweni Huku Ukishinda Mamilioni

Safari za utalii huwa zinanoga sana haswa mnapokuwa na vibe la kutosha, Meridianbet inakupeleka kutalii ukiwa na waongozaji mahari kwenye...

READ MORE

Video: Familia ya Mzee Flavian Yaomba Rais Samia Kuwasaidia kurejeshewa ardhi yao Mbezi Beach, Dar

Familia ya Mzee Flavian Nyendikuu imemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati na...

READ MORE

Wanakwaya 6 waliofariki kwa ajali ya gari wilayani Same Kuzikwa leo

Miili sita ya wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mmeni Chome, Dayosisi ya Pare waliofariki...

READ MORE

Bei Ya Mafuta Yazidi Kupaa, Kuanza Kutumika Leo Jumatano Aprili 2, 2025

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika kuanzia leo Jumatano,...

READ MORE

Kisa ‘Miss Calls 10’ Ampa Talaka Mkewe Na Kumdai Pesa Zote Alizompa – Video

Mwanamama Shakira Arsenal, mkazi wa Upanga, Dar es Salaam, anaomba msaada wa hali na mali ili kuikomboa nyumba aliyonunua kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 2, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Kafulila: Deni la Taifa ni Himilivu kwa uchumi wa Tanzania

  Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta...

READ MORE

Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 Wadhaminiwa na Benk ya NMB

Benki ya NMB imedhamini na kushiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kitaifa uliofanyika katika viwanja vya Shirika...

READ MORE

EFTA, GSM Kuwakomboa Wanyabiashara Wadogo na Kati

Taasisi ya kifedha ya EFTA na GSM  zimesaini mkataba wa makubaliano ya kusaidia wafanyabiashara wadogo na kati kukuza biashara zao...

READ MORE

MO Dewji; Kichwa Kimoja, Dira Ya Mwendo Wa Maisha Ya Vijana Wa KiTanzania

KIJANA yupi tena wa Kitanzania anaweza asiamini kwamba anaweza kuwa sehemu ya Waafrika waliofanikiwa kimaisha kama atakuwa ni mchapakazi? Kama...

READ MORE

Polisi Washikilia Askari Magereza Wawili kwa Tuhuma za Kusababisha Kifo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia askari wawili wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha kijana...

READ MORE

Kocha wa Simba Aahidi Kuwasha Moto Misri Kesho Dhidi ya Al Masry

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Al Masry hautakuwa mwepesi kulingana na wapinzani...

READ MORE

Puma Yachangia Mitungi ya Gesi Katika Uzinduzi wa Mbio za Mwenge

Puma Energy Tanzania imeshiriki katika shughuli za za Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani,...

READ MORE

Zijue Athari za Kula Chipsi, Moja Kati ya Chakula Pendwa Zaidi Duniani

KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi haziliki bongo...

READ MORE

Yanga Yawafuata Tabora Kamilikamili Kukiwasha Kesho Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora, Yanga wamekwea pipa kamili kuwafuata Tabora United...

READ MORE